arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,359
- 4,408
Kama hawataki kutuletea mtu kazi Fofana...basi wakachukue hako kadachi FDJ ili Rice apige namba sita per se...natamani Forward awe Toney...na apatikane Winger upande wa Saka...yule Osimhen hamna kitu mule...vurugu nyingi bila akiliNi hela nyingi..unless tufanye mauzo ya pesa nyingi na vilevile tupate mahela mengi huko UEFA...kumbuka summer pia anahitajika forward....nnachoona atanunuliwa kiungo mmoja na winger na forward...Partey na Elneny wanasepa ila Jorginho namuona akibaki...arteta anamkubali sana
[emoji1666]Kama hawataki kutuletea mtu kazi Fofana...basi wakachukue hako kadachi FDJ ili Rice apige namba sita per se...natamani Forward awe Toney...na apatikane Winger upande wa Saka...yule Osimhen hamna kitu mule...vurugu nyingi bila akili
Zubimendi nimemwangalia video za kutosha, jamaa anajua hasa kwenye passing na yupo flexible kimtindo. Uchezaji wake ananikumbusha ArtetaThis is how it’s going to work:
If Arsenal pursues FDJ; Then Rice is going to be our long-term #6.
If Arsenal pursues Zubimendi; Then Rice is going to be our long-term #8 and situational #6.
I prefer Zubimendi over FDJ, to be honest.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kuna jamaa mmoja niliona twitt yake anasema ilo jamaa la Nigeria kila game kuanzia dakika ya 70, linakimbia kama chizi uwanjani[emoji23][emoji23]Kama hawataki kutuletea mtu kazi Fofana...basi wakachukue hako kadachi FDJ ili Rice apige namba sita per se...natamani Forward awe Toney...na apatikane Winger upande wa Saka...yule Osimhen hamna kitu mule...vurugu nyingi bila akili
Nimemfatilia sana naona simuelewi....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kuna jamaa mmoja niliona twitt yake anasema ilo jamaa la Nigeria kila game kuanzia dakika ya 70, linakimbia kama chizi uwanjani[emoji23][emoji23]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kuna jamaa mmoja niliona twitt yake anasema ilo jamaa la Nigeria kila game kuanzia dakika ya 70, linakimbia kama chizi uwanjani[emoji23][emoji23]
Kwa points vipi? Naona kama hatujakusanya points sanaArsenal goals after 24 games last season: 52
Arsenal goals after 24 games this season: 53
Chelsea itabeba kombe la EPL kabla ya Arteta, huu ndio ukweli mchungu sana majirani zetu. Endeeleni kukata mauno na kusindikiza wanaume kwenye ubingwa kila msimuChelsea asije akaingiza timu ile Emirates, tutampiga za West Ham.
Tukutane next week kwenye ligi ya mabingwa.
View attachment 2903134
Ahahah amka wewe.,,kwa matunguli mnayo cheza hata ueropa tu mtaisikia kwenye bombaaChelsea itabeba kombe la EPL kabla ya Arteta, huu ndio ukweli mchungu sana majirani zetu. Endeeleni kukata mauno na kusindikiza wanaume kwenye ubingwa kila msimu
Mnaumia kutoka pande zipi ndugu zetu🤠🤠Uzuri wa Asenyo mdomo wanapiga wao kombe wanabeba wengine.
Madrid Jana bila kipa wao Lunin wangepigwa nyingi tuFA wajinga sana. Yaani wanatuacha Arsenal mpaka leo hatujacheza mechi, huku watu wanakosa raha mtaani. Watuletee hata Real Madrid tuwachabange tuchangamshe damu watu mtaani waenjoy.
Madrid nawapenda. Ndiyo timu yangu kuu ya Spain. Pia tuna sababu ya kuwa na hofu nao. Naamini wanaweza kutufunga kirahisi tu.Madrid Jana bila kipa wao Lunin wangepigwa nyingi tu
Ndio maana namuomba Madrid sana ,
Yaan UCL wakumtoa mancity hazizid timu 2
Carragher anasema anaomba robo fainal tukutane na mancity sababu Arsenal ni Moja ya timu chache sana za kumtoa mancity
Yule Madrid wanaweza kumpiga nyingi