Imekaa vzr sana ,Ratiba yetu ya kumaliza ligi imekaa kiroho mbaya sana.
Hivi mkuu issue ya Zubimendi imekaaje? Summer uhakika?Imekaa vzr sana ,
Ana chance kubwa yakuja arsenalHivi mkuu issue ya Zubimendi imekaaje? Summer uhakika?
Hamisi hivi mbona bado hatujamalizana na Brentford kwa Raya? Si tulitakiwa kumchukua mazima January?| Arsenal are now confident wonderkid Ethan Nwaneri will remain at the club long-term amid interest from Chelsea and Man City.
(@SportsPeteO, @footyinsider247)
Fabrizio anasema kimahesabu tayari walishalipa ,Bado kutangazwa tuHamisi hivi mbona bado hatujamalizana na Brentford kwa Raya? Si tulitakiwa kumchukua mazima January?
Ramsdale tutalazimika kumuuza summer? Nataka abaki ila ni ngumu kwa kipa kama yeye kukubali kuwa second choice. Kama tuliwapoteza kina Fabianski, Manone, Martinez, sioni tukibaki na Ramsdale.Fabrizio anasema kimahesabu tayari walishalipa ,Bado kutangazwa tu
We made him "Kipa kama yeye" nani alikua anamtaka kabla?Ramsdale tutalazimika kumuuza summer? Nataka abaki ila ni ngumu kwa kipa kama yeye kukubali kuwa second choice. Kama tuliwapoteza kina Fabianski, Manone, Martinez, sioni tukibaki na Ramsdale.
Nadhani Arteta na timu yake walimshtukia kuwa ana kitu wakati wengine hawamuangalii kwa sababu ya timu aliyokuwepoWe made him "Kipa kama yeye" nani alikua anamtaka kabla?
Tenhag mambo haya hawezi, ye kazi yake kupanga Koni na kusimamia mazoezi basi
I just wish, hao wote watue the gunnerThis is how it’s going to work:
If Arsenal pursues FDJ; Then Rice is going to be our long-term #6.
If Arsenal pursues Zubimendi; Then Rice is going to be our long-term #8 and situational #6.
I prefer Zubimendi over FDJ, to be honest.
FDJ awe LCMI just wish, hao wote watue the gunner
I prefer F dejong over zubimendi. De jong anajua Sana mzee
cfbayern mwandishi wa habari za Bayern kutoka The BILD ,anayeaminika sana ,anasema Bayern wanamtaka Zubimendi ,na Arsenal anaongoza mbio zakumtaka ,Hivi mkuu issue ya Zubimendi imekaaje? Summer uhakika?
Summer wanaondoka partey na elnenycfbayern mwandishi wa habari za Bayern kutoka The BILD ,anayeaminika sana ,anasema Bayern wanamtaka Zubimendi ,na Arsenal anaongoza mbio zakumtaka ,
Martín #Zubimendi is an option for #FCBayern, even though #Arsenal are currently ahead. A lot of discussions are taking place, but a new player for the position is definitely expected to be signed in the summer.
[@altobelli13, @cfbayern]
View attachment 2902749