Villa jana kimewakuta kilichotukuta kwenye defeats zetu za msimu huu na hata dhidi yao.Manunu tunajua haka kaupepo walikonako katakata mda sio mrefu...ni suala la muda tu🤠🤠...jana walikuwa wanaacha matobo mengi sana katikati na hawakuwa compact kihivyo...
ilifika kipindi xG yetu tukawa tunazidiwa na Luton ,nafasi nyingi ,magoli hatufungiVilla jana kimewakuta kilichotukuta kwenye defeats zetu za msimu huu na hata dhidi yao.
Chances zinatengenezwa, scorer hakuna.
Huyu ndiyo maana hua nasubiri afungwe.ETH anatamba anasema kwasasa anampiga yeyote
Amecheza na villa lakin anadai alistahili kuifunga Arsenal na Liverpool
Huyu kocha manjesta fans wanadai simpendagi ,kaangalieni stats za hizo mechi
Hata hiyo ya villa kabahatika ,siokwamba aliukamata mchezo ,lakini cheki anavyotamba
Utofauti wa Flano na ETH ni upiView attachment 2901419
Nilimaanisha kumuuza mapema akiwa anahitajika na timu zingine. Najua bado dogo ana 16, sasa sijajua kama atarefuka sana zaidi ya hapo ndani ya miaka 2-3. Nia ni ili tumsahau mazima tufocus na wachezaji wenye miili mikubwa, watakaoweza kustahimili mikiki mikiki ya ligi.Kuachana ukiwa unamaanisha kumuuza au tuache aendelee kukua taratibu huku tukiwa tunampa mechi chache sana....fafanua
aHuyu jamaa alikua na debut mbovu mno.
Ila baada ya pale ni mechi moja ama mbili ndiyo niliona ana makosa
Mkuu yule dogo ana kitu miguuni....kanatakiwa kapige gym sana katitie...kakiwa na nguvu ya kutosha basi inatosha...kazi chafu watafanya kina Rice na mtakatifu Kiwior🤠🤠🤠Nilimaanisha kumuuza mapema akiwa anahitajika na timu zingine. Najua bado dogo ana 16, sasa sijajua kama atarefuka sana zaidi ya hapo ndani ya miaka 2-3. Nia ni ili tumsahau mazima tufocus na wachezaji wenye miili mikubwa, watakaoweza kustahimili mikiki mikiki ya ligi.
Wachezaji wenye miili midogo kama Wilshere, Carlos Vela, Fabio Vieira, kwa kiasi fulani hata Cedric, wanakuwa targetted sana. Wengine wanajikuta majeruhi mara kwa mara. Kusurvive baadhi ya wachezaji walibidi wawe tough kiasi na skills nyingi, kama Mtakatifu Cazorla.
Nilikuwa na wasiwasi wa hivi kwa Saka pia alivyoanza, ila jamaa sasa amejijenga physically na amerefuka kiasi.
Kiwior sikujua kama ni mkatili vile. Nadhani kuishi na kina Benny Blanco na Gabriel kumembadilisha. Na yeye pia bado kijana anakuwa.Mkuu yule dogo ana kitu miguuni....kanatakiwa kapige gym sana katitie...kakiwa na nguvu ya kutosha basi inatosha...kazi chafu watafanya kina Rice na mtakatifu Kiwior🤠🤠🤠
Tumpe muda. Nimegoogle urefu wake nikaona 1.65m. Diego Maradona alikuwa 1.65m. Ethan bado anakuwa labda atajazia jazia. Na game ya sasa inahitaji ukomaee.Mkuu yule dogo ana kitu miguuni....kanatakiwa kapige gym sana katitie...kakiwa na nguvu ya kutosha basi inatosha...kazi chafu watafanya kina Rice na mtakatifu Kiwior🤠🤠🤠
Yule dogo ana kau Jack Wilshere ndani yake na u Cazorla hivi...katakata sawa...na nadhani Arteta anampa gemu moja moja kumuonesha kwmba ana future kwny klabu...maana mijizi Chelkenge na Man City ilitaka kumuiba kwa kumpa mshahara wa kufuru bwana mdgo🤠🤠🤠....Arteta akamtulizaTumpe muda. Nimegoogle urefu wake nikaona 1.65m. Diego Maradona alikuwa 1.65m. Ethan bado anakuwa labda atajazia jazia. Na game ya sasa inahitaji ukomaee.
Kiwior ni LCB , ila kama unavyojua Arteta anamtumia LB, Tena alikuwa anamtumia LB wa kuinvert akawa anazinguaKiwior sikujua kama ni mkatili vile. Nadhani kuishi na kina Benny Blanco na Gabriel kumembadilisha. Na yeye pia bado kijana anakuwa.
Ninachomiss kwa Kiwior ni zile long balls zake cross-field . Wakati anakuja tulicheki sana clips zake za pass kutoka beki hadi kwa strikers na wingers tukasema 'kwa distribution hii, wapinzani watakoma'.
Mwanzo nilikua naona mpigaji alikua Trousad akiwepo uwanjani sikua nashangaa asipokuwepo LT19, ila hivi karibuni LT19 namuona uwanjani na Pia Rice anaendelea kupiga, ila impact yake ni kubwa sehemu zote mbili game vs Nyumbu lile bao lilitokana na mpira wa aina iyoHii ishu nimeona kuna shabiki kaisemea Reddit.
Sasa changamoto ni hiyo.
Akipiga anadeliver vizuri asipopiga uwepo wake ni advantage kwenye box. Mwisho tukakubaliana aendelee kupiga
Asivimbe kichwa, atapotea mapema, tushaona vipaji maridhawa kabisa, vikiimbwa ila matokeo yake sasa wakapotea kwa kupewa misifa mingi.Huyu dogo anapendwa sio na mashabiki tu,hadi wachezaji walikuwa wanamwambia Mikel amuingize akacheze
️ “Bring Ethan Nwaneri in!”,
Arsenal players on the bench were whispering in the second half.
Mikel Arteta:
“They really wanted me to bring Ethan in”,
said via @jamesbenge.View attachment 2901432
Sio rahis kuvimba kichwa, uzuri wapo wachezaji anawaangalia tokea pale pale Arsenal wanawachukulia kama mfano , Smith Rowe,Saka,Nell, na Partino alisema anachukulia mfano wa Saliba kuamin ipo siku atalejea Arsenal na kua mchezaji wa muhimu.Asivimbe kichwa, atapotea mapema, tushaona vipaji maridhawa kabisa, vikiimbwa ila matokeo yake sasa wakapotea kwa kupewa misifa mingi.
Aisee hivi dogo umeomuona vizuri au unaongea tu huyo dogo hapa juzi City na Chelsea walitaka kufanya hujuma Arsenal ilibidi waingilie kati ndo akasajiri mkataba bonge la kiungo hilo.Nilimaanisha kumuuza mapema akiwa anahitajika na timu zingine. Najua bado dogo ana 16, sasa sijajua kama atarefuka sana zaidi ya hapo ndani ya miaka 2-3. Nia ni ili tumsahau mazima tufocus na wachezaji wenye miili mikubwa, watakaoweza kustahimili mikiki mikiki ya ligi.
Wachezaji wenye miili midogo kama Wilshere, Carlos Vela, Fabio Vieira, kwa kiasi fulani hata Cedric, wanakuwa targetted sana. Wengine wanajikuta majeruhi mara kwa mara. Kusurvive baadhi ya wachezaji walibidi wawe tough kiasi na skills nyingi, kama Mtakatifu Cazorla.
Nilikuwa na wasiwasi wa hivi kwa Saka pia alivyoanza, ila jamaa sasa amejijenga physically na amerefuka kiasi.
Ndiyo maana nikasema tumpe muda na nikatoa mifano ya wengine wadogo wadogo waliopata tabu kwetu japo walikuwa na vipaji sana. Nilimsahau Eduardo pia. Wajinga walimvunja mguu kabisaAisee hivi dogo umeomuona vizuri au unaongea tu huyo dogo hapa juzi City na Chelsea walitaka kufanya hujuma Arsenal ilibidi waingilie kati ndo akasajiri mkataba bonge la kiungo hilo.