Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nakuelewa. Ila tupo pia wale ambao tunamuona huyu dogo bado. Tunafurahi akishinda halafu tukifungwa tunakumbuka "kwanza huyu dogo hatukumtaka..." 😀😀
Duniani kwa Sasa kiukweli kabisa makocha wazuri wamebaki wachache na ambao hawana kazi kwa Sasa...wenzetu kocha anachaguliwa kwa kuangalia factors nyingi sana... especially culture ya klabu...na Arteta suits the best...kuna Interview Edu alifanya akaeleza namna walivyom recruit Arteta then unaona watu walivyo serious....Makocha kama Conte na Mourinho Wana aina ya klabu wanaweza kufundisha lakini sio zenye mtindo kama Arsenal au Barcelona...hata Zizzou pia...ndo maana watu watakaotaka Arteta aondoke watapata wakati mgumu sana hasa kuwashawishi wamiliki wa timu na hata Director of sports Edu
 
Basi ya Chelsea ndo tulishikwa vibaya mno ila ngekewa tu ndo ilitupa sare
Labda unachanganya na mechi za mourinho enzi zile 😀😀😀 ila wale watoto wa mama marasta siyo level yetu kabisa hawawezi kutusumbua kwa lolote. Utakuwa uliangalia mechi ukiwa umesinzia 😀😀😀😅
 
22Raya
4White
2Saliba
6Gabriel
15Kiwior
8Ødegaard
41Rice
29Havertz
7Saka
19Trossard
11Martinelli

Substitutes

1Ramsdale
14Nketiah
17Cédric Soares
20Jorginho
24Nelson
25Elneny
40Bandeira
63Nwaneri
76Walters
Referee:
Craig Pawson
 
22Raya
4White
2Saliba
6Gabriel
15Kiwior
8Ødegaard
41Rice
29Havertz
7Saka
19Trossard
11Martinelli

Substitutes

1Ramsdale
14Nketiah
17Cédric Soares
20Jorginho
24Nelson
25Elneny
40Bandeira
63Nwaneri
76Walters
Referee:
Craig Pawson
Tukishawapiga nyinginyingi tunatia academy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…