arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,328
- 4,315
Hapa kwa Partey hapa🤠🤠...fanya kama hyo jamaa alishauzwa..ni mchezaji nnayemkubali kuliko wte pale Arsenal ila tyri imeshakuwa flat tyre tena yenye kipara....hyu Hana msaaada wwte kwasasa...usajili ujao tulete Fofana mtu kazi pale kati
Good morning Gunners
Game Nzuri ya Jana
Jorginho, &Rice Pivot kitu sijawahi ona Kama kile walitisha Sana
Saliba mistake ila lawama wanatupiwa wengine
Ukweli wilo alizingua ile goal luckly uwanjani Wana umoja.. awe Makini Sasa maana tutanza kuwa Maadui wenyewe kwenye lango letu
Kai had a good game against Liverpool defenders
Vvd and konate couldn't handle him kwa presha alizokuwa anawapa ,ila jana link up yake na wenzie Yani Huoni pengo la Jesus
Saka pocket Gomez Alikuwa hapandi kabisa
Martinel pocket TAA couldn't Link na wenzake, mchezo ulikuwa mzuri Sana
Benjamin White Jana alikua na game poa Sana Diaz hakufurukuta kabisa
Kiwior hakutaka masiara kabisa
Raya with distribution Ni monster...
Second half tupia mipira mirefu Kai chukua Mali . Kuna ka Haram ball kalitembea
Trossard always anakupa chochote akiingia uwanjani
Hii momentum tutaenda kushinda mechi nyingi Sana.
Tomiyasu is back
Timber on the way
Partey on the way
ARSENAL FOREVERView attachment 2894852