Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kwahiyo kwa hii misimu miwili kila Liver akikutana na Arsenal ndo anakuwa na siku mbaya? Huu ni msimu wa pili Liverpool hajapata matokeo ya ushindi dhidi ya Arsenal. Je tuendelee kuamini maneno yako kwamba liver alikuwa na siku mbaya????
Sasa kwenye hii misimu miwili uliziangalia mechi zote nne? Ile tulishinda 3-2 uliona ilivyokuwa? Haya hizo mbili za sare uliona? Kama tungekuwa serious ile tuliongoza 2 bila na wakaja kusawazisha unaikumbuka? Sasa liverpool ile ndio ufananishe na ya jana?
 
Nipo ndugu yangu japo nilikuwa bize nataka kuoa
 
Jurgen Klopp kakubali walizidiwa

: “Arsenal deserve the three points, there is no doubt about that. They scored three and we had one shot on target, so that's obviously the one stat that shows the most.
 
Kwahiyo hizo zote alikuwa na siku nzuri isipokuwa jana tu? Hapo ndo tukianza kusema ni mamluki ila mnajificha kwa kusema ni Arsenal mnakuwa wakali ila ndani ya nafsi zenu mnajua kabisa kuwa mnazuga
 
Mtusamehe majurani...hatujakulipizieni zile goli 4 wakuu....kwa minafasi tulokosa walikuwa wanakula kono la nyani Hawa walevi wa Anfield🤠🤠
Eti na wao kwa akili zao walidhani wanaweza kupishana na sisi. Wenzao wanapaki basi wanabahatisha ushindi, wao eti wanajiona miamba wanatufuata kwetu. Tukawabana kila sekta ila tukazingua umaliziaji.
 
kwahiyo ulitaka tusishinde au? Arsenal ilipofungwa aikuwa na siku mbaya?!
 
Yule dogo Cozier Dubery kapelekwa wapi siku hizi??
Saka anahitaji mapumziko ili tupate potential tuliyomzoea
 
Arsenal ya hatari ni ipi hiyo?! Hata chelsea/Man U ingekua ile ya hatari ingekuwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…