Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 4,903
- 7,186
Tukijitahidi sare hatuna mentality ya kupambana kushinda mechi hizi muhimu kaka hata baada ya kupata goli tazam wachezaji wamesharidhika
Kocha wa kulaumiwa ndio, sasa Trossard ni wazi ana winning mentality unamuacha bench alafu unaenda muanzisha havertz unatarajia nini?Inaboa sana aseee tunashindwa kuscore magoli mepesi tunaruhusu magoli mepesi hili ni tatizo la kukosa wachezaji wenye mentality ya ushindani huwezi mlaumu COACH hapo
Mfano yellow card ya benwhite niyakujitakia tu jitu linarusha mpira baada ya dakika1 kuanzsha faulu anataka analize dk1
TUNAHITAJI WACHEZAJI WENYE MENTALITY YA KUSHINDA MATAJI MAKUBWA NA WAO KUWA WACHEZAJI WAKUBWA[emoji2357][emoji2357]
Kocha wa kulaumiwa ndio, sasa Trossard ni wazi ana winning mentality unamuacha bench alafu unaenda muanzisha havertz unatarajia nini?
Arteta is killing the team kwa ujuaji mwingi.
leo havert kacheza vizuri simdaiKocha wa kulaumiwa ndio, sasa Trossard ni wazi ana winning mentality unamuacha bench alafu unaenda muanzisha havertz unatarajia nini?
Arteta is killing the team kwa ujuaji mwingi.
Kabisa leo Van Dijk atalala anaota anacheza Emirates [emoji3][emoji3][emoji3]Tunahitaji striker mkatili pale mbele, na kiungo aina ya KDB. Tunatengebeza nafasi nyingi sana.
Red beautiful card Kanoute
If we beat City we win the league.With this victory it also means City inatakiwa tumfunge
kumfunga city Anfield ni jambo jepesi sana. ingekuwa Etihad haiwezekani.If we beat City we win the league.
Ili kushinda kombe lazima tutumie tough way ya kupiga viongozi wote ..With this victory it also means City inatakiwa tumfunge