Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,385
Huyu na Partey wametufanya tuwe nafasi ya sasa tulipo daily visingizio vya majeruhi this is too much hawawezi kuplay 5 to 10 games in a row bila kwenda hospitalGabriel Jesus yeye ni trip shamba trip garage, kashaumia.
Partey wa kuuza tu apishe Kiungo mwingine wa uhakika, Jesús pia anatakiwa awe 2nd Striker...Huyu na Partey wametufanya tuwe nafasi ya sasa tulipo daily visingizio vya majeruhi this is too much hawawezi kuplay 5 to 10 games in a row bila kwenda hospital
Saliba kujiamini kumezidi. Ujinga sanaTumekuwa kama malaya tunagawa magoli hovyo hovyo
Sababu Management ni wabishi let's wait and see Arsenal tatizo ni kutia goli nyavuni itacheza sexy footballFour big chances.
3 missed
Same na mechi yetu iliyopita.
You look at us na inaonyesha wazi anahitajika striker
Na kipa nae amechangia mkuu, anaona Saliba kashamzuia Diaz anachelewa kutoka.saliba sijui alikuwa anawaza nini pale.. utazani yupo uwanja wa mazoezi.
Hata kipa kafanya ukuda tu pale.. Kama umeamua kutoka toka haraka... Sio unasitasita.saliba sijui alikuwa anawaza nini pale.. utazani yupo uwanja wa mazoezi.
FACTS umemaliza MJADALAInaboa sana aseee tunashindwa kuscore magoli mepesi tunaruhusu magoli mepesi hili ni tatizo la kukosa wachezaji wenye mentality ya ushindani huwezi mlaumu COACH hapo
Mfano yellow card ya benwhite niyakujitakia tu jitu linarusha mpira baada ya dakika1 kuanzsha faulu anataka analize dk1
TUNAHITAJI WACHEZAJI WENYE MENTALITY YA KUSHINDA MATAJI MAKUBWA NA WAO KUWA WACHEZAJI WAKUBWA
Tukijitahidi sare hatuna mentality ya kupambana kushinda mechi hizi muhimu kaka hata baada ya kupata goli tazam wachezaji wamesharidhikaGame plane klop amezidiwa na Arteta
Kama unafatilia mpira utagundua Arteta ni master plan mzuri Sana
Uhakikaliverpunda anakufa hii game
Sub ya trossad kwa Kai, Leo naona Kai amepoa Sana. Na ndio mtu ambae anatakiwa aimalize hii game
#COYG