[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Masingeli we wadanganye wenzio tu, halafu Crystal Palace wakishafanya yao uwakimbie humu.“Arsenal imerudi, Arsenal inaanza Upyaaa, Arsenal inacheza leo, Arsenal Bingwa msimu huu” [emoji91]
#COYG
Ukweli utabaki kuwa huo, hakuna namna ! Tumia maneno ya kiume !!!kwa nin mawazo yko mda wte yafikilie upumbavu tu mkuu
Yaani arsenal kafungwa!?Jingine
Aisee leo nimeona.. Wengine watokeage sub tu.Normally Trossard doesn’t shine when he starts