Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tuna lia lia sana kwa sasa
 
Odegard akae position gani? Au aondolewe kabisa?

Nketiah huyu dogo ndio untouchable?
Ø inapendekezwa acheze karibu na Martinelli, so lcm is the perfect suit for him, Ø ni kati ya wachezaji tunawaita the ball to feet players, Martinelli ni behind runner nadhani unaona hiyo combination itakavyokuwa kuliko kuwa na havertz & Martinelli on the same side wakati wote ni runners. Mfano km Arsenal tutampata Leao inaonekana Nelli atakuwa striker sababu ana potential kubwa akiwa karibu na goli.
 
Kati ya Leao na Osimhen unamchukua yupi? Na kwanini? Binafsi nakubali kumpata Leao na Martinelli akasogea kuwa CF. Mpira wetu unapendeza zaidi tukiwa na WC wingers, tumejijenga kutengeneza mashambulizi kupitia wingers kwa kipindi hiki cha miaka 3 nyuma.
 
I got u broo
 
Despite all, tunahitaji sold midfield

Midfield ya mtu che pale Kati, wawili wawe typically 8 and 6
Tuwe na dynamic flow nzuri ya offensive and defensive. Partey is back, ila ni vizuri tukaongeza mtu pale Kati mwenye u-partey ndani yake
Ina case partey au rice mmoja akiumua tuwe stable

Incase tukipata forward pia itakua sio mbaya

Saka, martinel, Jesus, Kai, Trossad
Nina imanai nao Sana na uzuri wake wameshazoeana Hawa.
Wanachokosa ni strong backup kutoka midfielders. Sometimes timu inajikuta ishuke Sana chini tuwe more compact
Midfielders iwe hivi;. Odegard. Partey. Rice
Runners za saka na martinel utaziona
Jesus/Kai runs in and out utaziona
Transitional football or tik-taka
Positional play
huu ukame wa goals utaisha kabisa

Rowe, Nelson
Hawa Kama wanahitaji muda zaidi

Nketiah awekwe sokoni, demand yetu ni kubwa kuliko uwezo wake
 
Hivi mnacheza lini ninyi tuje kuwajazia nzi tena mpaka mkimbie hiki kijiwe Chenu ?, au bado mji Dubai mnanengua Tu ?, maana mna hali mbaya sana ninyi majirani

Si kazi yetu ni kuwasagia kunguni tu mpaka muonje tena machungu ya kukosa kucheza hata Europa ,
Ni dharau sana Arsenal kucheza UEFA halafu Timu kama Chelsea tunakosa hata Europa ,no way
Lazima mrudi kurithi nafasi yenu ya 8

Si sasa hivi ni kuwatupia laana tu mrudi kurithi nafasi yenu ya 8
 
Acha roho mbaya kaka
 
Nianavyo kumbadili Odegaard kutoka RCM kwenda LCM ni kumpotezea ufanisi wake hua akiwa pale alipo sasa hua anauona uwanja vizuri ikiwa ni pamoja na kuona nafasi za kupiga pasi zake zahatari na pia anapata nafasi ya kuweza ku attack na kukata ile mipira yake vizuri kwenye attempts anazofanya. Kwa jinsi tunavyocheza sasa ukimuondoa pale jua tunazidi kuiua timu labda arteta aje kubadili mfumo wa kiuchezaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…