Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,533
- 235,284
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwenda Dubai kutasaidia vipi kubadilisha kiwango kibovu cha hivi karibuni?ni kupoteza muda tu kwenda Dubai kama striker ni Nketiah sioni jipya zaidi ya may be kwenda kurefresh mind tu
Uko sawa kabisaKwenda Dubai kutasaidia vipi kubadilisha kiwango kibovu cha hivi karibuni?ni kupoteza muda tu kwenda Dubai kama striker ni Nketiah sioni jipya zaidi ya may be kwenda kurefresh mind tu
Kwa hiyo Nketiah ndio anaenda kunolewa kupiga mashuti [emoji23][emoji23][emoji23]Huko Dubai tumeenda kufanya mazoezi ya kupiga mashuti, a.k.a madongo. Tukirudi makipa wenu wajiangalie vizuri. Ni madongo kwenda mbele. Yani wasipokiwa makini hata Raya na Rambo watashinda
Hawa jamaa wameanza kwenda gym moja na Adama Traore
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sisi kama arsenal msimu huu hatuachi kombe lolote kesho ndyo tunaanza ligi sasa
Arsenal bingwa EPL NA UEFA
COYG FOREVER [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Tafsiri yake usipopigwa magoal, Basi utapigwa ngumi[emoji1][emoji1][emoji1]
Hii picha imechezewa eee,hao mbona wamekuwa mambavu?
Nimeona taarifa kuwa Arsenal wanatafuta FB, Ben white ni mchezaji mzuri sn lakini binafsi naamini toka zamani Ben white hafit kwenye ile position, Ben white ni CB, kama tukipata fb mzuri km Anorld kwenye ule upande wa RHS kutakuwa na magoli mengi sana, imani yangu ni kama tacticos wengi wa twitter wanavyofikiri, japo wao wanalalamika kwamba Ø aondolewe kwenye that RCM position, na fact yao ni kwamba hawezi ku overlapp hivyo ana limit Saka's potential on that side, mimi pia nakubali kwa principle moja kama utambakiza Ø basi White aondolewe atafutwe mtu anayepiga cross nzuri na km Ø anatoka basi ikitokea white anabaki km Fb hakuna shida.
Odegard akae position gani? Au aondolewe kabisa?Nimeona taarifa kuwa Arsenal wanatafuta FB, Ben white ni mchezaji mzuri sn lakini binafsi naamini toka zamani Ben white hafit kwenye ile position, Ben white ni CB, kama tukipata fb mzuri km Anorld kwenye ule upande wa RHS kutakuwa na magoli mengi sana, imani yangu ni kama tacticos wengi wa twitter wanavyofikiri, japo wao wanalalamika kwamba Ø aondolewe kwenye that RCM position, na fact yao ni kwamba hawezi ku overlapp hivyo ana limit Saka's potential on that side, mimi pia nakubali kwa principle moja kama utambakiza Ø basi White aondolewe atafutwe mtu anayepiga cross nzuri na km Ø anatoka basi ikitokea white anabaki km Fb hakuna shida.
Nilitaka kuandika vitu Kama hivi anavyosema Pep ile siku nyumbu mmoja ananiquote anasema ARSENAL IS OVERRATED, sijui FALSE HOPERS, nikajiuliza why? with all the good food footy we play anasema The Arsenal is overrated?, nikandua anajudge mpira by final results sio process or performnce km asemavyo Pep, na sababu ni maybe BIASNESS OR LOW THINKING CAPACITY.They hate when a genius speaks about us, when pep talks about Arsenal they say its a mind games! You're a fool and you know nothing, just keep your mouth shut!View attachment 2870881
[emoji16][emoji16][emoji16] Tuna lia lia sana kwa sasaNilitaka kuandika vitu Kama hivi anavyosema Pep ile siku nyumbu mmoja ananiquote anasema ARSENAL IS OVERRATED, sijui FALSE HOPERS, nikajiuliza why? with all the good food footy we play anasema The Arsenal is overrated?, nikandua anajudge mpira by final results sio process or performnce km asemavyo Pep, na sababu ni maybe BIASNESS OR LOW THINKING CAPACITY.
Unajua Mpira ni mchezo wa maono, yani kila mtu ana namna anavyouona mpira, inapotokea an average fan unashare the same vision with a great coach or a great tactico wengi husema ooooh unamuiga flani, wala sio hivyo, it's because we share the same ideas, i love pep cuz anafundisha the kind of Football i like, the same to Arteta. Kwa mfano nikisoma vitabu kama pep confidential au My turn ya Johan cruyff naona kuwa siku zote nimekuwa nafikiria this way about football, mfano kuna jamaa yangu yeye huwa haelewi kabisa mpira wa pep au mpira wa pasi nyingi fupifupi, yeye ni conte, Mourinho au Ibenge, ofcourse labda sababu ni shabiki wa chelsea, yeye hana sababu ya anachokitetea, nikagundua kwamba tunatofautiana namna tunavyoangalia mpira, na hivi vitu ni by nature.