Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nadhani tunahitaji sana kuongeza uwezo wa kushambulia space hasa tunapokuwa na mpira.harvets sio mbaya ila wote tubakubaliana hana uzuri tunaouhitaji.
Mimi naamini kai ni mchezaji mzuri, tatizo la kushindwa kumaliza nafasi ni jambo la confidence zaidi, baada ya muda atakuwa sawa. Na ningependa aendelee kucheza CF.
 
Unajua boli brother, you will laugh last, moja ya watu wanaokuponda humu ni Man utd na wengine ni Man u wenye akaunti za Arsenal, inshort wanaokupinga ni wapinzani na wengi ni manyumbu.
 
Ofcoz mkuu ili ndo jukwaa letu la comedy.. Kwa sbb anachokifanya hakina tofaut na comedy tunafurah uwepo wake.

Na mbio zake uwa nyng sana team ikikosa muelekeo
 
Kiukweli form ya arsenal ilikuwa upepo tu umemkalia vizuri Arteta kama ulivyomkubali Ole hadi akashika nafasi ya 2.
Arteta kaiba vimbinu vichache vya Pep kaona tayari ni mjuvi, sasa wahuni washajua namna ya kudeal naye anatamani arudi City akawe msaidizi wa Pep tu.
 
Nadhani tunahitaji sana kuongeza uwezo wa kushambulia space hasa tunapokuwa na mpira.harvets sio mbaya ila wote tubakubaliana hana uzuri tunaouhitaji.
Tuliwaambia hapa mapema tu Xhaka hakutakiwa kuuzwa, timu ya msimu uliopita angeongezwa Rice mngetisha. Ila mkaamua kuuza Xhaka mkanunua Havrtz mzee wa mipira ya juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…