verifaidi yuza
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 3,121
- 6,184
Angalau ROWE ana unique testTimu inahitaji striker wa maana hii
Yani chance zote hizo hamna goli, aingie Martinelli/Smith Rowe
Kule inabidi uweke mpira wavuni kwa half chance tuKule hutengenezi chance after chance
Kabisa.Saka ukimwangalia TU body language yake, inakuambia hayupo sawa.
Toa Saka, Nelson akae left wing, Tia Trossard.
Hii game naona kama Smith Rowe inamfaa
Hii timu hautakiwi uwe serious sana sometimes, ukipata kichance kidogo cha kutamba, unakitumia vizuriEheeeeee
Hii timu hautakiwi uwe serious sana sometimes, ukipata kichance kidogo cha kutamba, unakitumia vizuri
Saka nilisikia taarifa ni majeruhi, nashangaa anacheza. Sometimes majeruhi siyo lazima uumie TU physically,.hata akili nayo inachoka ukitumika marakwamaraKabisa.
Sanaaa ndo maana namuelewa mno @hamis77.tumia wakati vizuriHii timu hautakiwi uwe serious sana sometimes, ukipata kichance kidogo cha kutamba, unakitumia vizuri
Iko wazAsee Havertz amerudi kwenye default settings.
Jamaa anachukua masaa mawili kushoot.
Clinical Striker ni Vital hakuna kujidanganya.
Tupo palee mchambuziLiverpool Leo anatakiwa apigwe kipigo Cha mbwa Koko
Saka ukimwangalia TU body language yake, inakuambia hayupo sawa.
Toa Saka, Nelson akae left wing, Tia Trossard.
Hii game naona kama Smith Rowe inamfaa
Nina mda sana, sitaki hizi stress kabisa yani. Tumekuwa shyte kabisa..naangalia MovieNetflix sitaki headache tangia tulose game 2 mfululizo nimekata tamaa kabisa ya kuona Arsenal anabeba one among major trophyseason hii nyie endeleeni kuburudika na football️

Kwamba umesema???Leo tunamkung'uta liverkuku za kutosha, akawahadithie Yale makenge ya darajani na unyumbuni