Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hao Makocha wanapatikana?

Angalia manchester united na Chelsea wanavyowabadilisha makocha kila leo
 
Leo ndio January na ligi ndio tumeianza rasmi

#arsenalNDOO
Hahaaaaa
,hili jukwaa burudani sana , kwamba mmeanza ligi leo au sio ?

Hamis masingeli yuko wapi ?
Kenge yule anajuaga kujichimbia yule mkila kisago , anapotea mazima ,
Siku mkishinda anaibuka na takwimu zake za ki Dr shika
 
mzunguko wa pili huwa ni mgumu zaidi.. arteta inabidi ajiangalie sana na mbinu zake.. haiwezekani kuingia na game-based approach ile ile kwa timu ambazo zilikusumbua kupata matokeo.
 
Mjinga mwingine huyu..unamshindwa Fulham unawaza Bayern Munich, Real Madrid, Barcelona
Kwangu bora tuzingue mapemaa, tujue tunagombania kwenda UCL kuliko ile ya kukaa top kwa siku 200+ mwisho wa siku tunakuwa sawa na nyumbu
 
mzunguko wa pili huwa ni mgumu zaidi.. arteta inabidi ajiangalie sana na mbinu zake.. haiwezekani kuingia na game-based approach ile ile kwa timu ambazo zilikusumbua kupata matokeo.
shida sio mbinu sasa mchezaji kama kai, nketia,orde na huyo mwingine kawa kama rashindi
 
Hao Makocha wanapatikana?

Angalia manchester united na Chelsea wanavyowabadilisha makocha kila leo
Kwa sasa Dunia ina uhaba wa world class coaches pamoja na World class goal scorer-waliobora katika top 5 ligi bora duniani sidhani kama wanazidi wa 5 (Janga sana hili)
 
mtaelewa tuuu
 

Attachments

  • IMG_20231230_212951_626.jpg
    99.3 KB · Views: 14
Thomas Partey Octopus hajajumuishwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Ghana kwa ajili ya Afcon, soon atarejea dimbani

Haters msije sema hatukuwaambia kua tunaanza ligi January View attachment 2859458
Washapiga Sana ngenga, sisi tutamaliza kwa kupiga spana za kwenda
Octopus PARTEY back in training, Arteta Mastermind is our Sterling
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…