jong afrikaanse
JF-Expert Member
- Mar 17, 2013
- 675
- 998
Kwamba bado unadhani?????Hii timu yetu kubeba EPL msimu huu tusahau, 6 points tunaziachia alafu tunataka ubingwa? Sidhani
we nae ficha ushamba wako,mambo gani sasa ya kutaka kujaza page kwa maemoji ya kifala😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Makosa ya msimu uliopita ndio haya haya, kweli sidhani kama tutabeba ubingwa.Kwamba bado unadhani?????hiyo top 4 kwa mbinde mnooooo mtaibakiaa
Makosa ya msimu uliopita ndio haya haya, kweli sidhani kama tutabeba ubingwa.
Kwelii Leo ilikuwa siku ngumuu kumezaaaa... sema kubalini tu Sisi Manyuuu na nyie weka chelsea ni watoto wa mama mmojaArsenal manager Mikel Arteta, speaking to BBC Sport: "Really tough day. A sad day. Three days ago [2-0 defeat by West Ham] we played a game we lost that we completely meant to win it, today was our worst game of the season. The pace, the purpose we have in attack, defensively we were second best, we could not dominate and had issues because of that.
"We didn't do enough with that [possession] - not enough purpose speed or threat. We were sloppy with the ball. It wasn't good enough. We didn't deserve to win. When you have opportunities to go top of league on 31 December and now end up with really bad feeling that is football. The lines are really thin.
"If we play like we played in the other 19 games we will be up there [in the league at the end of the season]. If we play like today we will be nowhere near. Today was a really difficult day to swallow."
Tufocus na top 4 ila sio ubingwaNketiah tangu dakika ya kwanza alikuwa mzigo uwanjani
Kipindi kipi cha mpito Arsenal aliwahi kupitia?Ni kipindi cha mpito tu mnaosubri timu ifanye vibaya ili muinange ni muda wenu sasa
Niliandika hapa watu wakatukana. Tumeishia kupata point 4 mwezi december baada ya michezo mitano.Hapa duniani timu ninayoipenda kuliko zote ni Arsenal FC ikifuatiwa na Simba SC na national teams za Tanzania na France.
Lakini niseme wazi kwamba kwa jinsi Arsenal inavyocheza mpira slow basi hatutakuja kamwe kubeba makombe makubwa.
Aina ya mpira wetu ungeweza kuwa hatari sana kama tungecheza kwa kasi. Kucheza taratibu hivi kunataka uwepo wa wachezaji exceptional ili kuweza kubeba makombe.
Barcelona iliweza kubeba makombe kwasababu walikuwa na Messi, Xavi na Iniesta, pia Puyol, Alves, Bosquet, Pique, Villa etc. Mara kadhaa walicheza kwa kasi na kupiga counter lakini mostly walitegemea hao wachezaji hatari.
Sasa hapa kwetu Arsenal kuna wachezaji sita ambao angalau wana winning mentality ni Rice, Saliba, Martinelli, Trossard, Partey na Saka. Na hawa wote ukiondoa Saliba na Rice ni normal players, sio exceptional.
Wachezaji ambao nawaona ni squad players na watakupa output ya kueleweka mostly kwenye mechi ndogo ni Odegaard, Magalhaes, White, Zinchenko, Tomiyasu na Gabriel Jesus. Nawapa muda Kiwior na Raya.
Wachezaji mizigo ni Elneny, Nelson, Havertz, Vieira, Nketiah, Rowe, Ramsdale na Soares. Hawa waondolewe haraka maana hawana faida yoyote. Akina Lokonga na Marquinhos waliopo mkopo wasirudi.
Kwahiyo katika hali hii nategemea Arsenal tutatolewa UCL kwenye robo fainali na tutaingia top 4 ya EPL kwa tabu sana. Tutatolewa FA siku chache zijazo.
Mwezi huu wa December tunaweza kupata point chache sana maana tumeshapoteza kwa aston villa na hapo bado broghton, liverpool, westham na fulham.
January apatikane beki wa kati, winga wa kulia na mshambuliaji hatari ili angalau kuokoa jahazi lisizame kuanzia February 2024.
Arteta na Edu waache kuleta wachezaji laini na waache huu mpira slow slow.
Once a gunner always a gunner ...naombeni matokeo nilikiwa itunguja ndani ndani kama mchele ,oder ,saka ,martinell walikuwepo uhakika