Joginho habadiliki kuondoa huo ugonjwa wake ,tangia akiwa Chelsea , ukitaka kumfaidi Joginho ,acheze na kiungo mapafu ya mbwa mithili ya Kante , ambaye anakimbia ,mwenye nguvu na kasi ya kukaba eneo kubwa la uwanja ( kiungo punda )
Kwangu ni bora uwe na jorginho na declan rice kuliko kuwa na midfield ya havertz na odegaard ndani ya mechi moja na wakati huo huo zinchenko ni majeruhi
Labda mpinzani wako awe manchester united ya kipara