West Ham hawapress juu, wao wanatuacha na mpira mpaka tukivuka mstari wa kati, baada ya hapo wanakua compact kati kati, no space between the lines, kwa kifupi wanafunga njia zote!
Arteta ili aendelee kugombea kombe ina bidi mpaka wiki ya pili wawe wamesajili wachezaji kwenye maeneo yenye upungufu lasivyo kuna turbo zitawashwa huko nyuma😂😂😂....
Asenali atatoka kwenye mbio za ubingwa na kubakia kwenye mbio za yuefa😂😂😂
West Ham hawapress juu, wao wanatuacha na mpira mpaka tukivuka mstari wa kati, baada ya hapo wanakua compact kati kati, no space between the lines, kwa kifupi wanafunga njia zote!
Na hii kitu moyes atamchapa nayo sana arteta 😂😂😂😂 yaan kazi rahisi kama unanawa kwake moyes,na hata kesho wakirudiana arteta atachapwa tena mpaka akili imkae sawa😂😂😂
Imefika wakati arteta ampe nafasi smith rowe sasa huyu trossard sasa amekua ana kausenge hivi....martineli anahitaji a lot of counseling ni kama hajiamini aisee....