Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Idea ilikua ni kuhakikisha hatuachwi zaidi ya point nne mpaka January na mtu wa kwanza.

Hii timu inaoverdeliver usiku na mchana kwa kikosi kiduchu. Westham wapo high on morale but so are we.
Nani huyo alisema hivyo? Mimi naona tumepoteza points zaidi ya 15. Nilitaka mpaka hapa tuwe tumewazidi maboya wanaotufukuzia (Livakuku, mamacita) kama points 10-12 😄😄😄
 
Nani huyo alisema hivyo? Mimi naona tumepoteza points zaidi ya 15. Nilitaka mpaka hapa tuwe tumewazidi maboya wanaotufukuzia (Livakuku, mamacita) kama points 10-12
Kiungo na forward zetu bado hazijaclick vizuri

Muhimu tuendelee kumaintain nafasi 1-2 hadi February, kurejea kwa Partey na Timber kutatuboost kwenye title charge
 

Yaani tactics zenu zimeiweka Arsenal kwenye top spot afu nyie wenye tactics mpo huko mlipo, interesting…

Usichoelewa ni kuwa hizi timu ndogo zikikutana na manjesta zinamuona ni mwenzao kiuwezo hivyo zinafunguka kutafuta matokeo ndio maana anabahatisha kuzifunga kirahisi ila wakikutana na Arsenal wanakaa wachezaji 9 nyuma ya mpira na wakijaribu kupishana basi dhahma itawakuta cc: mkorea
 
Kuna haja ya Arteta kutengeneza mfumo wa kumfanya Martinelli asogee karibu zaidi na goli ili aweze kushootView attachment 2855804
Ukimsogeza karibu kwa zinchenko kilio😂😂...
Kazi ya ukocha n pasua kichwa aisee.

Akifanya hivyo na jinsi asenal ilivyo kwa sasa n zoezi gumu maana kuna namba pale zikipata tatizo tu n kilio,maana zina mchezaji mmoja bora mmoja na mshindan wa namba hiyo anatoakitu bora kwenye mfumo tofauti na mfumo wa mwenzake.

Hii kitu arteta akizembea tu january hii hatokuja kusahau 😂😂😂
 
Kimahesabu inatakiwa tushinde kuanzia 3 bila kufungwa kwenda juu, ni timu chache sana zinaweza kutana na takwa hilo na likatimia.

Man City.

Sisi kushindwa himili presha imekua kama sehemu ya DNA, tuliwahi shindwa kwenda Europa kwa kukosa points 3 kwenye mechi tano. Mechi serious utashangaa mwingine anapata red mwingine anaanzisha ugomvi n.k.

Msimu uliopita ilitakiwa tushinde mechi mbili kati ya tatu zote tukasuluhu.

Mentally bado hatupo sawa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…