Tutakachowafanya kesho watasimuliaNarudia tena kama ambavyo huwa nawaambia tena....jana mmekutana pipa na mfuniko....naangalia ratiba yenu fixture tatu zijazo ntakwambia matokeo yatakavyokuwa na itakuwa hvyohvyo....Manunu hamna utulivu...hamfanyi build up inavyotakiwa...hamzuii vzuri...kiungo chenu kinapwaya...yaani mna matatizo chungu nzima....ukiniuliza mm Villa Wana wachezaji wasiozidi watatu ambao ndo wazuri...wengine wte ni average....walikuwa wamefikia peak Yao kwa mechi kadhaa na kile walichokionesha jana ndo uwezo wao hauzidi pale.....Sasa mtulie ndugu zetu...nyny bdo wabovu sana kama walivyo wazee wa kupiga watu mangumi Nyukesto....mna timu ya kawaida sana
Mbwa JIKE habari yakoNyie kondoo endeleeni kijidanganya.
Mkohoti anataka aitwee mbwa jike ikitokea arsenal tupo nafasi nne za juuMbwa JIKE habari yako View attachment 2854881
Hivi kutakuwa na Ubaya kama Arteta akifanya jambo juu ya hyu mtoto Olise🤠🤠...anajua mpk anapitiliza aisee[emoji2788]| Mikel Arteta’s message to Arsenal fans: “First of all, thank-you for everything that you’ve done throughout the year and the way you’ve supported and inspired the team.
“For tomorrow [against West Ham], please
“Get behind the team, inspire them again and the team is going to try to do everything that we can.
“It’s going to be the last game of the year in front of you, so it’s a special moment, so let’s make it beautiful.”
[@arsenal] #afc
Kwa hiyo mnajiona mmeshamaliza juu y nafas y nne, kweli nyie ni kondoo.Mbwa JIKE habari yako View attachment 2854881
Nyie kondoo hivi mpira huwa mnaangalia peke yenu au?kama kuna mtu mpaka leo anaona kai bado ajadeliver,aje tumfundishe namna ya kuangalia mpira,kai nimegundua tumemnunua kwa bei rahisi sanaa
Kwahiyo we Mbwa Jike unahisi Chelsea itamaliza nafasi juu za 4 alafu Arsenal atamaliza nafasi ya 5 au sioKwa hiyo mnajiona mmeshamaliza juu y nafas y nne, kweli nyie ni kondoo.
Hivi kutakuwa na Ubaya kama Arteta akifanya jambo juu ya hyu mtoto Olise[emoji1783][emoji1783]...anajua mpk anapitiliza aisee
KabisaNamkubali sana dogo, huyu angesaidiana na Saka