Nyie kondoo endeleeni kijidanganya.Idea ilikua ni kuhakikisha hatuachwi zaidi ya point nne mpaka January na mtu wa kwanza.
Hii timu inaoverdeliver usiku na mchana kwa kikosi kiduchu. Westham wapo high on morale but so are we.
Hivi hawaogop wakiona hizi picture
Hongereni jana mmepambana Villa kumfunga sio kitotoTumewafundisha namna ya kumfunga Luton na Villa na pia tumewaweka walau nafasi ya 1 na ya 2 katika msimamo wa ligi kwa vipindi tofauti tofauti,lakini bado mnatuita nyumba!
Huwa nawashangaa sana Hopers mnavyomuona 10Hag kilaza wakati mfupa unaomshinda tactician ARTETA yeye anauvunja kwa kutumia wachezaji wa academy yetu.
Uko serious mkuu kabisaπ€ π€ π€ ....Sikumbuki ni post namba ngapi kule kwny jukwaa lao...jana kuna mtu nilimwambia Manunu atashinda tena atamfunga Villa vzuri maana ukiwaangalia wale Villa wanakuzwa kuliko uhalisia....ukimiliki mpira ukawa unawapa presha mda mrefu basi wanashindwa kuhimili....walitufunga kwa fluke tu wale maana tulishindwa kutumia nafasi tulizotengeneza pale kwao.....Sasa hii comment tunza....siku Manunu atakayoenda kucheza na wale jamaa tena kama wale Villa watakuwa na kiwango hiki basi Manunu watabutuliwa kuanzia goli 2...jana vilikutana pipa na mfunikoHongereni jana mmepambana Villa kumfunga sio kitoto
Huwa nasikitika sana mkiwa mnqongea vtu kama hivi...yaani mna hali mbaya halafu kubahatisha mlikokufanya ndo mnakuja kuvimba hmu....wacha tutafute ratiba yenu tuone mechi tatu zijazo mnacheza na nani Ili tuwaambie kabisa mechi gani mnabutuliwa tenaTumewafundisha namna ya kumfunga Luton na Villa na pia tumewaweka walau nafasi ya 1 na ya 2 katika msimamo wa ligi kwa vipindi tofauti tofauti,lakini bado mnatuita nyumba!
Huwa nawashangaa sana Hopers mnavyomuona 10Hag kilaza wakati mfupa unaomshinda tactician ARTETA yeye anauvunja kwa kutumia wachezaji wa academy yetu.
Wanasaka furaha maana wapo hoiHuwa nasikitika sana mkiwa mnqongea vtu kama hivi...yaani mna hali mbaya halafu kubahatisha mlikokufanya ndo mnakuja kuvimba hmu....wacha tutafute ratiba yenu tuone mechi tatu zijazo mnacheza na nani Ili tuwaambie kabisa mechi gani mnabutuliwa tena
Umeongea ukweli kabisaUko serious mkuu kabisa....Sikumbuki ni post namba ngapi kule kwny jukwaa lao...jana kuna mtu nilimwambia Manunu atashinda tena atamfunga Villa vzuri maana ukiwaangalia wale Villa wanakuzwa kuliko uhalisia....ukimiliki mpira ukawa unawapa presha mda mrefu basi wanashindwa kuhimili....walitufunga kwa fluke tu wale maana tulishindwa kutumia nafasi tulizotengeneza pale kwao.....Sasa hii comment tunza....siku Manunu atakayoenda kucheza na wale jamaa tena kama wale Villa watakuwa na kiwango hiki basi Manunu watabutuliwa kuanzia goli 2...jana vilikutana pipa na mfuniko
Ila Arsenal bana hampendi kupitwa,kwamba sie tumebahatisha kumpiga Villa gongo 3! Na pia tumekutana pipa na mfuniko wakati Vila alikuwa aongoze ligi kabla hatujamzuia sisi!Uko serious mkuu kabisaπ€ π€ π€ ....Sikumbuki ni post namba ngapi kule kwny jukwaa lao...jana kuna mtu nilimwambia Manunu atashinda tena atamfunga Villa vzuri maana ukiwaangalia wale Villa wanakuzwa kuliko uhalisia....ukimiliki mpira ukawa unawapa presha mda mrefu basi wanashindwa kuhimili....walitufunga kwa fluke tu wale maana tulishindwa kutumia nafasi tulizotengeneza pale kwao.....Sasa hii comment tunza....siku Manunu atakayoenda kucheza na wale jamaa tena kama wale Villa watakuwa na kiwango hiki basi Manunu watabutuliwa kuanzia goli 2...jana vilikutana pipa na mfuniko
Tukiwa wakweli wa nafsi zetu,hadi sasa United ndiye kamuweka Tembo karibu na kileleni au kesho akae kileleni ingawa napata hofu kama mnaweza kurudi tena pale kwenye tawi mbele ya Hammers.Wanasaka furaha maana wapo hoi
Ngoja tuanze kuwapelekea moto jukwaan kwao
Hiyo kazi naianza week hii
Tukiwa wakweli wa nafsi zetu,hadi sasa United ndiye kamuweka Tembo karibu na kileleni au kesho akae kileleni ingawa napata hofu kama mnaweza kurudi tena pale kwenye tawi mbele ya Hammers.
I got uIdea ilikua ni kuhakikisha hatuachwi zaidi ya point nne mpaka January na mtu wa kwanza.
Hii timu inaoverdeliver usiku na mchana kwa kikosi kiduchu. Westham wapo high on morale but so are we.
Nyumbu na Kenge hawapendi kusikia wala kuonaHivi hawaogop wakiona hizi picture
Narudia tena kama ambavyo huwa nawaambia tena....jana mmekutana pipa na mfuniko....naangalia ratiba yenu fixture tatu zijazo ntakwambia matokeo yatakavyokuwa na itakuwa hvyohvyo....Manunu hamna utulivu...hamfanyi build up inavyotakiwa...hamzuii vzuri...kiungo chenu kinapwaya...yaani mna matatizo chungu nzima....ukiniuliza mm Villa Wana wachezaji wasiozidi watatu ambao ndo wazuri...wengine wte ni average....walikuwa wamefikia peak Yao kwa mechi kadhaa na kile walichokionesha jana ndo uwezo wao hauzidi pale.....Sasa mtulie ndugu zetu...nyny bdo wabovu sana kama walivyo wazee wa kupiga watu mangumi Nyukesto....mna timu ya kawaida sanaTukiwa wakweli wa nafsi zetu,hadi sasa United ndiye kamuweka Tembo karibu na kileleni au kesho akae kileleni ingawa napata hofu kama mnaweza kurudi tena pale kwenye tawi mbele ya Hammers.
Nitakutafuta baada ya mechi kuisha...wale tutakachowafanya kwny press conference Moyes atakuja kukiri kama alivyokiri kocha wa Brighton...yule Paqueta sijui na Kudus mtawasonya keshoπ€ π€ π€ ....hawajawahi kutusumbua kabisa wale wazee wa counter attackMechi ya kesho naona itaamuliwa kwa kiasi kubwa na wachezaji watatu tu paqueta,bowen na kudus hao watu nafikiri arteta awazuie kimfumo zaid na kwa kukosekana kwa kai arteta kazi anayo,akiachiwa zinchenko pekee yake atalaumiwa mpaka mwakaniππππ na kwa akili ya moyes atalazimisha kupitia kwa zinchenko tuπππ msaada wa martinel inategemea ataamkaje....
Kesho kazini kwa arteta kuna kazi kubwa sanaπ£
Labda afunge busta la partey,rice na odegaard.
Nafikiri moyes atatumia kanuni ile ya kungoja robo ya mwisho, ziba mianya,pora mali kisha itupe mbavuni kwa adui mshindane mbio na adui,ingia ndani piga,walete katiπππ (kama nawaona anavyowakaririsha wagonga nyundo tebo ya tatu)
Kesho kwa usalama wa nafsi shabiki wa asenali atarajie lolote lileπππ