Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Binafsi Rice simdai tena.

Mfano akianza kua hovyo kuanzia mechi ijayo na mpaka anaondoka Arsenal nitatumia hizi mechi 23 za mashindano yote kumtetea.
 
Binafsi Rice simdai tena.

Mfano akianza kua hovyo kuanzia mechi ijayo na mpaka anaondoka Arsenal nitatumia hizi mechi 23 za mashindano yote kumtetea.
Rice hana baya bonge la player
 
Afu hawa Liverpool kuna kitu walifanya uwanjani baada ya halftime wachezaji walikuwa wanateleza sana uwanja uchunguzwe.
 
Pale Anfield kwa matokeo haya mimi nimefurahi sana, ni matokea stahili kabisa,kuna improvement kubwa sana kulinganisha na game ya 2-2 last season na game ya Leo 1-1, siku sio nyingi tutaanza kuchukua point zote 3 pale kwao,

Game ya leo tungekua na Tomiyasu/Timber,Partey na Striker wa maana tungepata ushindi vizuri sana

hata Intervew ya Saka baada ya mechi imejidhiilisha kwa jicho la tatu kua tunaitaj striker wa maana.
 
Asenali wachezaji wamejitoa kweli leo ila VAR wamewanyonga liverpool,odegaard naona aliushika maksudi ule mpira😂😂😂,nafikiri arteta aliongelee na hili sio asubrii tunyongww ndio keleleee
 
Asenali wachezaji wamejitoa kweli leo ila VAR wamewanyonga liverpool,odegaard naona aliushika maksudi ule mpira😂😂😂,nafikiri arteta aliongelee na hili sio asubrii tunyongww ndio keleleee
Alikua anaanguka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…