Na nyny huwa mkienda inakuwaje....mbona mnajisahaulisha ndugu zetu....si huwa mnatandaza kabumbu lakini mwsho wa mechi ubao unasoma tofauti....mnakula ngumi ndoige moja tu....mnarudi kwenuAnfield Arsenal huwa wanatetemeka Sana ,hata kabla game haijaanza ,kiufupi kuanzia kocha ,wachezaji wote wanakuwa wanatetemeka hawajiamin kabisa ....ndio maana mnabaki kuwa timu ndogo,small club kabisa[emoji23] ....mnaona Madrid akiingia pale anavowanyanyasa mpaka uwanja unageuka library [emoji23]
Huwa nawaonea huruma tu mkienda Anfield....mwaka Jana mkaongoza kabisa Goli mbili na mnataka kuchukua ubingwa lakin moto mliopelekewa sio poa zote zikarudi na Salah alikosa penalty mlikuwa mnapigwa kabisa ...na Ni mwaka ambao Liverpool alikuwa mbovu maana hata top 4 hakuingia...Na nyny huwa mkienda inakuwaje....mbona mnajisahaulisha ndugu zetu....si huwa mnatandaza kabumbu lakini mwsho wa mechi ubao unasoma tofauti....mnakula ngumi ndoige moja tu....mnarudi kwenu
Hiyo ni ya Arsenal. Lete ya nyumbuArsenal katika dimba la Anfield mdani ya miaka 10:
[emoji777] 2013-14: Liverpool 5-1 Arsenal
[emoji810] 2014-15: Liverpool 2-2 Arsenal
[emoji810] 2015-16: Liverpool 3-3 Arsenal
[emoji777] 2016-17: Liverpool 3-1 Arsenal
[emoji777] 2017-18: Liverpool 4-0 Arsenal
[emoji777] 2018-19: Liverpool 5-1 Arsenal
[emoji777] 2019-20: Liverpool 3-1 Arsenal
[emoji777] 2020-21: Liverpool 3-1 Arsenal
[emoji777] 2021-22: Liverpool 4-0 Arsenal
[emoji810] 2022-23: Liverpool 2-2 Arsenal
Leo ni siku nyingine na mwaka mwingine [emoji848] Arsenal kazini kwenu kuna kazi.
ni kubaya.View attachment 2850538
Tumekaa palee
Tunawasubiri tembo waliovimbiwa[emoji23] tuwachakazeView attachment 2850620
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwhyo kumbe tunaoneana huruma maana hata sisi huwa tunawaonea huruma ndugu zetuHuwa nawaonea huruma tu mkienda Anfield....mwaka Jana mkaongoza kabisa Goli mbili na mnataka kuchukua ubingwa lakin moto mliopelekewa sio poa zote zikarudi na Salah alikosa penalty mlikuwa mnapigwa kabisa ...na Ni mwaka ambao Liverpool alikuwa mbovu maana hata top 4 hakuingia...
Halafu sisi tuli droo pale vp kuhusu nyny mlipata matokeo gani pale ndugu zetu kwahyo Liverpool ambayo haikumaliza hata top 4Huwa nawaonea huruma tu mkienda Anfield....mwaka Jana mkaongoza kabisa Goli mbili na mnataka kuchukua ubingwa lakin moto mliopelekewa sio poa zote zikarudi na Salah alikosa penalty mlikuwa mnapigwa kabisa ...na Ni mwaka ambao Liverpool alikuwa mbovu maana hata top 4 hakuingia...
Challenge accepted.Arsenal katika dimba la Anfield mdani ya miaka 10:
[emoji777] 2013-14: Liverpool 5-1 Arsenal
[emoji810] 2014-15: Liverpool 2-2 Arsenal
[emoji810] 2015-16: Liverpool 3-3 Arsenal
[emoji777] 2016-17: Liverpool 3-1 Arsenal
[emoji777] 2017-18: Liverpool 4-0 Arsenal
[emoji777] 2018-19: Liverpool 5-1 Arsenal
[emoji777] 2019-20: Liverpool 3-1 Arsenal
[emoji777] 2020-21: Liverpool 3-1 Arsenal
[emoji777] 2021-22: Liverpool 4-0 Arsenal
[emoji810] 2022-23: Liverpool 2-2 Arsenal
Leo ni siku nyingine na mwaka mwingine [emoji848] Arsenal kazini kwenu kuna kazi.
ni kubaya.View attachment 2850538
Wajiandae tu kisaikolojia kupokea kichapo cha mbwa kokoArsenal katika dimba la Anfield mdani ya miaka 10:
[emoji777] 2013-14: Liverpool 5-1 Arsenal
[emoji810] 2014-15: Liverpool 2-2 Arsenal
[emoji810] 2015-16: Liverpool 3-3 Arsenal
[emoji777] 2016-17: Liverpool 3-1 Arsenal
[emoji777] 2017-18: Liverpool 4-0 Arsenal
[emoji777] 2018-19: Liverpool 5-1 Arsenal
[emoji777] 2019-20: Liverpool 3-1 Arsenal
[emoji777] 2020-21: Liverpool 3-1 Arsenal
[emoji777] 2021-22: Liverpool 4-0 Arsenal
[emoji810] 2022-23: Liverpool 2-2 Arsenal
Leo ni siku nyingine na mwaka mwingine [emoji848] Arsenal kazini kwenu kuna kazi.
ni kubaya.View attachment 2850538
Usije ukapotea tu baadae ndugu mtazamaji🤠🤠🤠....huwa mnapiga Domo halafu mkiwekwa mnapotea kabisaa kama yule mzee wa NyukestoWajiandae tu kisaikolojia kupokea kichapo cha mbwa koko
Baadae usijetia huruma tunakuja kukuadhibu hapo hapo kwakoWajiandae tu kisaikolojia kupokea kichapo cha mbwa koko
Watakuja kujazana humu baadae [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nyumbu kashindwa kuvumilia
2-0Dalili za Wenger orphans leo sio nzuri hamis77 ajachangia chochote mpaka sasa wakati ndo mpiga domo namba moja hapa.
kajamaa kako vizuri kunusa siku za vichapo katatulia kimya.View attachment 2850807