Arsenal (The Gunners) | Special Thread

[emoji17][emoji17] Liverpool tena?nilijua ni kina Aston Villa FA Cup

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Duh 😅 bora Kai awepo ila Odegaard asiwepo?

Kai anafanya runs. Ni AM lakini strength yake ipo kwenye runs na siyo anachofanya AM.

Odegaard anakuchukulia mpira chini anapanda nao dimbani. Anaugawa anauomba tena . . .

Reddit kuna jamaa alisema Kai hafai na akasema akifanya vizuri atafutwe. Kuna mshkaji kamtafuta jamaa juzi, na fan base yote ikasema he is improving but not enough kuanza kuwatishia watu.

Sasa yupo safari ya kuimprove mnaanza kusema bora Odegaard asiwepo 😅
 
Nilichomekea kidogo mkuu ila Odegaard huwa ananikera kwny mechi crucial huwa kama anapoteana hivi...ile mechi ya Aston Villa kakosa magoli kipumbavu sana
 
Any newz za Saliba?Inasemekana jana hakufanya mazoezi(from X).
 
Kama ilivyo ada ya EPL, anayemaliza top of the table kipindi cha xmas huwa bingwa wa msimu husika. Leo Villa anacheza na vibonde Sheffield hivyo ushindi ni 99% kwake. Kesho ninyi na Liverkuku mnatoa droo au mnakufa kabisa. Hapo ndio mwanzo wa kuanza kumuona Kai anacheza Arsenal sababu ni shemeji yake Arteta na sio wa kiwango stahiki.
Then mtaanza kuongelea usajili wa Julai wakati tuko Disemba.
False hopers.
 
Ukiendelea hivi ukifika miaka 60 kama hautakua mchawi basi utakua unapaa na ungo angani!

Arsenal itakuja kuwaua kwa presha nyie nyumbu.. pumbaaf!
 
Tuendelee ndugu mchambuzi.
 
Whatever happens tomorrow, Arsenal or Liverpool will be top of the Premier League at Christmas...

The last six teams to fail to win the title from that position?

◉ Arsenal (2007/08)
◉ Liverpool (2008/09)
◉ Liverpool (2013/14)
◉ Liverpool (2018/19)
◉ Liverpool (2020/21)
◉ Arsenal (2022/23)
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…