Mie sikubali, ozil ni ozil tu, bado kai hana jicho la ozilMsimseme sana King Kai n Ozil mpya hapa arsenal
Ozil alikuwa super master kwny kutoa pasi zile ambazo watu hawazitarajii...he was that good....ila alikuwa hawezi kukaba yaani alikuwa lonyalonya sana....Kai hawezi kufika uwezo wa kupiga hzo pasi hata kidogo...ila ana win mipira ya juu na anakaba sana kusaidia timu ndo maana ana mikadi mingi ya njano🤠🤠🤠....Sasa basi tutasimama na King Kai mpk mwsho na atatupa kombe...Kai mtu sana....sasahv Bora Odegaard asiwepo ila King Kai awepo....napata burudani kumuangalia akifanya movement za kibishoo pale mbeleMie sikubali, ozil ni ozil tu, bado kai hana jicho la ozil
Kila mtu na chaguzi yake.Ozil alikuwa super master kwny kutoa pasi zile ambazo watu hawazitarajii...he was that good....ila alikuwa hawezi kukaba yaani alikuwa lonyalonya sana....Kai hawezi kufika uwezo wa kupiga hzo pasi hata kidogo...ila ana win mipira ya juu na anakaba sana kusaidia timu ndo maana ana mikadi mingi ya njano🤠🤠🤠....Sasa basi tutasimama na King Kai mpk mwsho na atatupa kombe...Kai mtu sana....sasahv Bora Odegaard asiwepo ila King Kai awepo....napata burudani kumuangalia akifanya movement za kibishoo pale mbele
Kwasababu kulikuwa kuna watu nyuma wanafanya kazi chafu kumrahisishia....real Madrid ya kipindi kile usingeweza kuifananisha na Arsenal hata kidogo maana tulikuwa na wachezaji wapambanaji labda wa4 tu...wengine wte ilikuwa mizigo....hvyo asingeweza kuwa treated kama alivyokuwa treated pale Madrid....Kikosi alichokirithi Arteta sasahv watu ambao wamebaki ni Saka, Martinelli na Elneny kama sijakosea....wengine wte tulitimua na unaona sasahv timu ipo wapi pale juu kwny msimamo🤠🤠🤠.....Sasa kwa kile kigenge cha Emery hatujawahi kuweza na tusingewezaKila mtu na chaguzi yake.
Ozil na ulonya lonya yake alicheza na mourinho anaehusudu kupaki basi.
Haahaa Chelsea kwan anataka tena kiungo? Au yeye ni mzee wa kumwaga tu mpungo dadeki zakeHapo tunataka tumuingize mkenge kubwa jinga moja, hasa Chelsea.
Walivyosikia tunamtaka Palhinha nao wamemueka kwenye list.. So far, priority ya Arsenal kwenye mid kwa january bado haijajulikana, lengo ni kuwapiga chenga copycats kama Chelsea.
Hizo habari zote za kina Douglas Luiz, Palhinha na Onana tunazohusishwa nazo usikute ni decoy akaja kuchukuliwa Yossouf Fofana au Cheikh Doucoure.
Unpredictability, remember?
Hujaona tetesi Gallagher Yuko sokoniHaahaa Chelsea kwan anataka tena kiungo? Au yeye ni mzee wa kumwaga tu mpungo dadeki zake
Yule labda nyukesto ndo wamchukueHujaona tetesi Gallagher Yuko sokoni
Chelsea hawana plan kwenye usajili wao. Wakiona tu mchezaji mzuri YouTube au wakisikia Arsenal tunamtaka mchezaji fulani basi na wao haoo!Haahaa Chelsea kwan anataka tena kiungo? Au yeye ni mzee wa kumwaga tu mpungo dadeki zake
Hahh unataka kusema Chelsea ni kama Simba na Yanga kwamba mchezaji wa YoutubeChelsea hawana plan kwenye usajili wao. Wakiona tu mchezaji mzuri YouTube au wakisikia Arsenal tunamtaka mchezaji fulani basi na wao haoo!
Wakati sisi tunafuatilia dili la Rice, wao walikua busy na matapeli Brighton wakipigana vikumbo na Liverpool kupandisha bei ya Caicedo.
Hata hivyo Rice ali gain trust ya Arteta, thus why ikawa ngumu hata kwa City walipopeleka dau lao mwishoni.
Tukaambiwa kwa Rice tumepigwa sio thamani yake, huku kikisifiwa kiungo cha £200 mil cha Enzo na Caicedo.
Now imekua vice versa, Rice anaitendea kazi price yake, hatuoni kukiwa na discussion za kuhoji price yake.. Lakini kiungo cha £200 mil kina flop day in day out.
Enzo kacheza misimu miwili tu Benfica, msimu wa pili ndo kapata bahati ya kuitwa timu ya taifa tena kwa kuchukua nafasi za wachezaji walioumia, akiwemo yeye na McAlister, akang'aa hapo hapo na kuchukua tuzo.. Chelsea akaenda kunyonywa mchuzi ikamtoka 100 na upuuzi.
Hawa wamarekani wa Chelsea watapigwa sokoni mpaka akili iwakae sawa!
Nimecheka SanaChelsea hawana plan kwenye usajili wao. Wakiona tu mchezaji mzuri YouTube au wakisikia Arsenal tunamtaka mchezaji fulani basi na wao haoo!
Wakati sisi tunafuatilia dili la Rice, wao walikua busy na matapeli Brighton wakipigana vikumbo na Liverpool kupandisha bei ya Caicedo.
Hata hivyo Rice ali gain trust ya Arteta, thus why ikawa ngumu hata kwa City walipopeleka dau lao mwishoni.
Tukaambiwa kwa Rice tumepigwa sio thamani yake, huku kikisifiwa kiungo cha £200 mil cha Enzo na Caicedo.
Now imekua vice versa, Rice anaitendea kazi price yake, hatuoni kukiwa na discussion za kuhoji price yake.. Lakini kiungo cha £200 mil kina flop day in day out.
Enzo kacheza misimu miwili tu Benfica, msimu wa pili ndo kapata bahati ya kuitwa timu ya taifa tena kwa kuchukua nafasi za wachezaji walioumia, akiwemo yeye na McAlister, akang'aa hapo hapo na kuchukua tuzo.. Chelsea akaenda kunyonywa mchuzi ikamtoka 100 na upuuzi.
Hawa wamarekani wa Chelsea watapigwa sokoni mpaka akili iwakae sawa!
Arsenal hope to have Takehiro Tomiyasu, Thomas Partey and Mohamed Elneny available for the FA Cup third round clash with Liverpool.
The trio are currently out injured but progressing well and hope to play on January 7 before they head off on international duty. [@sr_collings
Ukiangalia hiyo list ya wachezaji walionunua hapo, utaona haina tofauti na mtu alieenda boma kununua nguo nyiingi za bei rahisi bila ya kujua ipi itamfaa..Nimecheka Sana,Chelsea wataendelea kushika nafasi za 10 mpaka wakome,
Wamiliki wao wanafanya sajili kwa sifa na kukomoana
Unakumbuka msimu wakwanza walipovamia dili Kama 10 hivi, bahati nzuri wachezaji wengi waliwakataa
Wakaja January wakavamia dili letu la Mudrky
Wakaja kujikuta wame spend £1.01B kwa wachezaji wengi average na wasioweza kuwatumia
Sasa hivi walitaka kumrubuni Toney ,nasikia kawachomolea ,
View attachment 2849118