Arsenal (The Gunners) | Special Thread

[emoji599] Jurrien Timber is on track to return to training in January and is now aiming to make the squad for the trip to Porto on Feb. 21, per source.

Utatoa hutoi?
 
Havertz anaona kama ameclick na ameyapatia maisha huku Arsenal wakati tupo amao bado tunategemea zaidi kwake na hatufurahishwa naye bado 😀
 
Safi Sana mkuu, we are the gunners [emoji110]
 
Safi Sana kamanda [emoji110]
 
[emoji817] we are family
#COYG
 
Noma Sana mzee, ukajua ukishamuita the Gunner nyongo itapoa tu[emoji1]
 
Kuna kipindi fan mmoja aliwahi kuniomba msaada, uwezo nilikuwa nao, nilifikiria sana lakini roho ikaogopa kwamba hii inaweza kuwa social engineering natafutwa. Naomba Mungu anisamehe.
[emoji1666]
 
[emoji120] together we can
 
Havertz anaona kama ameclick na ameyapatia maisha huku Arsenal wakati tupo amao bado tunategemea zaidi kwake na hatufurahishwa naye bado 😀
Kwasasa Ni yeye tu kashawekewa system nzuri ,

Ødegaard anatokea chini ,Saka anapokea mipira kwenye zone ya RCM, Kai anaingia ndani kushambulia ,so ni yeye Sasa kufunga tu magoli

Na timu ishaanza kuflow

Tulianza taratibu hasa eneo la attacking

Kocha kapata suluhisho ,kambadilishia Øde majukumu

Angalia mechi za Arsenal,mfatilie Øde anapokea mipira kutoka kwenye backline lakin utamkuta pia katikati ,utamkuta pia mbele

Kai ashindwe yeye Sasa kufikisha goli 10 EPL , Goals 3 muhimu UCL

Namuona akipiga G/A 15 ,Hadi Sasa ana 6 G/A. na amechelewa ku click
 

"60 million down the drain.
Kai Havertz scores again"

Kawimbo au kapoem kazuri nimekaona reddit. Arsenal fans wanautumia kuwatania chelkenge fans waliokuwa wanawatania arsenal fans kuwa wamechezea 60 million.

Anyway, tusimuona Kai kama bonge la mchezaji labda tunamuangalia Kai kwa standard zetu zisizotimika. Tunataka upgrade ya Xhaka kwenye ile nafasi. Tunataka ubunifu wa Ozil, ukakamavu, uthubutu, usumbufu wa Alexis Sanchez (hata Jesus tunataka afike hapa) na finishing ya Haaland 🤣
 
[emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji1666]
 
Hako kawimbo baada ya lile goli dhidi ya brighton uwanja mzima ulilipuka kwa kuimba ivyo daaah ilikua ni balaa mwanangu, yan hapo kama ni mchezaji unavyojifeel aisee ni zaid ya love mazee.
 
Bado hajafikia level ya juu kabisa , ila kwasasa ashindwe yeye Sasa ,kashawekewa mfumo mzuri wakufunga

Mech vs Astonvilla walimnyima goal wakati alianza kushika beki wa Astonvilla, bado alitengeneza nafasi nyingi za magoli wenzie hawakuzitumia

Msimu huu sitashangaa akimaliza na G/A ya 15

Ni mzuri kwenye movement na kufika kwenye box kwa wakati
 
Castr jamaa ako Purple channel karudi

[emoji599]Arsenal are currently exploring the prospect of signing 22y/o Amadou Onana from Everton. No talks have taken place yet; club insists on signing new holding midfielder, considering possible departures. #AFC

@PurplePanel


tumpate haraka huyu jamaa halafu kumbe mdogo tu, huyu kufikia summer hawez kubaki pale Everton ,
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…