Barbertov akaja kuulizwaTuchel on Havertz:
"Dennis Bergkamp, Robin Van Persie, Barbetov kind of player. He can play in the half position because he makes good runs, feels free from the 9 and creates overloads to one side and he arrives in the centre."
OMG Jacob RamseyArsenal reportedly keeping tabs on the Aston Villa midfielder Jacob Ramsey.
Dogo namkubali
Yani hapa baaadoooo. Subiri ifike January tuanze ligi, ndo mtajua kama hamjui.Arsenal mko moto, tatizo mdomo.
Mna mdomo mpk mnakera
Kawika msimu huu ana release clause ya €100mViktor Gyökeres, naona hili jina linatajwa sana katika pages za Guners insta na X.
Any one atupe ABC za hili striker la Kiswedi
Body language ya Kai tu inakusaidia Kama kocha ku impliment mbinu zako
Tukimpata Palhina au Amadou Onana jamaa ana futi 6 na nusu
It's over
Huyo jamaa Ni monster ,mkali wa Duels ,
Naona mitandaoni wanaogopa Kama tutampata Palhina au Amadou Onana
Ninachokiona Mikel anaweka ile Haram football Lakini ina mixer ya matechnician
Hii ni tofauti na Arsenal ya Wenger ilikuwa na mafundi wengi Ila haikuwa vzr kwenye physicality
View attachment 2846943
Kawika msimu huu ana release clause ya €100m
Ni risk kumsajili Sasa kwa Bei hiyo ,
Risk Kama hiyo walichukua Liverpool kwa Nunez wakatoa €80-85m
Vema sanaHiki kipindi cha sikukuu, Kanisani wametufundisha “Tusameheane” kwa muktadha huo nimemsamehe mwana Arsenal mwenzangu ambaye tulitofautiana kwa kauli zisizo za kiungwana na kupelekea kum-block.
arsenal2004 sina tena kinyongo na wewe; ila sikulazimisha kuyasahau yaliyopita
Mkuu mm sina tatizo na ww....habari za kuweka kinyongo huwa sina🤠🤠🤠....sijawahi kusahau tulivyopelekeshana ndo maana wakati mwingine nikitaka kuku quote kwny baadhi ya Comment zako nakuwa nakumbuka kwmba Mwamba tulisagiana kunguni kwhyo napita kushoto🤠🤠...ila tuanze upya tupo hmu kwa burudani tu...No need for violenceHiki kipindi cha sikukuu, Kanisani wametufundisha “Tusameheane” kwa muktadha huo nimemsamehe mwana Arsenal mwenzangu ambaye tulitofautiana kwa kauli zisizo za kiungwana na kupelekea kum-block.
arsenal2004 sina tena kinyongo na wewe; ila sikulazimisha kuyasahau yaliyopita
Lazima aelezee watu waelewe....hasahasa mabosi wa Manunu huwa wanakurupuka sana kwny manunuzi ya wachezaji na wameshapigwa sanakwaiyo mwanangu hadi utoe mifano ndo watu waelew
Safi Sana mate ,moja ya kitu sipend kwenye maisha kugombana na Arsenal fans ,huwa najitahid Sana niepuke Hilo, Arsenal fans Mimi huwa nawachukulia Kama ndugu zangu wa damu kabisa ,Hiki kipindi cha sikukuu, Kanisani wametufundisha “Tusameheane” kwa muktadha huo nimemsamehe mwana Arsenal mwenzangu ambaye tulitofautiana kwa kauli zisizo za kiungwana na kupelekea kum-block.
arsenal2004 sina tena kinyongo na wewe; ila sikulazimisha kuyasahau yaliyopita
Mkuu hii inanikumbusha tukio moja mtaani huku. Kuna jamaa mwana gunnerz tulikuwa tunakutana naye banda umiza tuu. Wote mashabiki wa Arsenal. Hatufahamiana kivile kuanzia majina wala nani anaishi wapi. N zile za "Niaje" anajibu "Freshi" maisha yanasonga.Safi Sana mate ,moja ya kitu sipend kwenye maisha kugombana na Arsenal fans ,huwa najitahid Sana niepuke Hilo, Arsenal fans Mimi huwa nawachukulia Kama ndugu zangu wa damu kabisa ,
Nimewahi kupitia Hali ngumu sana ,moja nadaiwa Kodi Sina kazi, kuna Arsenal fan akanisaidia kazi kwenye ofisi yake
Nishafikwa na maswaibu acha tu, Mke ameshikwa uchungu na Sina pesa ya hospitali ,Arsenal fan akanisaidia
Nishasaidiwa na Mimi kusaidiana na Arsenal fans katika shida na Raha nyingi ,
Thus why events za kutoa misaada za Arsenal fans huwa sikosi ,na mwaka huu ipo yakuchangia wagonjwa wa moyo
Ukishakuwa mwana Arsenal tayari Kuna DNA ya undugu inajengeka ndani yako
Fatilia hata wachezaji wa Arsenal ,huwa wanalisema hili Sana ,hata wanapokuwa wameondoka .... Mohammed Elneny alielezea Sana hili ,
For me Arsenal Ni part ya maisha sababu imeniunganisha na watu wengi , nikisafiri hata sehemu Kama Sina pakufikia nitamtafuta Arsenal fan maisha yatendelea
DahMkuu hii inanikumbusha tukio moja mtaani huku. Kuna jamaa mwana gunnerz tulikuwa tunakutana naye banda umiza tuu. Wote mashabiki wa Arsenal. Hatufahamiana kivile kuanzia majina wala nani anaishi wapi. N zile za "Niaje" anajibu "Freshi" maisha yanasonga.
Siku hiyo napita mitaa ya mbelembele, nakuta kuna ugomvo mkubwa unaendelea kipande hiko. Nikasema nisogee kuona kimachoendelea.
Mara namkuta jamaa ndo anataka kuzichapa na jamaa mwingine, na kila majirani "wakigombelezea" jamaa haelewi kabisa.
Basi ikabidi na mimi niingilie kati, jamaa hata simjui. Nikawa naita "Mzee wa gunners" acha bhana, tulia achana naye huyo jamaa. Jamaa naye ananijibu "mzee wa gunnerz" acha nimshikie adabu huyu mduanzi.
M nazidi kumsihi achana naye bhana mzee wa gunnerz. Basi jamaa ikabidi aachane naye na ugomvi ukaishia hapo