Tukatene Robo finalRatiba ya UCL imekaa vzr Sana
Kuna mechi za wiki ya kwanza na za wiki ya 2
Tumepangwa za wiki ya 2 ,mechi ya nyumbani itakuwa March ,ambapo kwa asilimia kubwa tutakuwa na wachezaji wengi wamerejea
Tukatene Robo final
Yeyote atakayejipendeza tunapita na kichwa chake
Arsenal anahitaji kuboresha striker na beki wa maana ili tuwe na wigo mpana WA wachezaji ,kilichomsaidia city kuchukuwa kombe zote zile alikuwa na wigo mpana wa wacheza,umewahi kuwaza watu kama maharaizi anatokea benchi tena amechanganyi na foden wanatokea Bench's,sasa inafaa ifikie maahal arsenal best player wanatokea benchi na apo ndo unamchanganya opponents wako wanashindwa kujua Nani anaanzaYaah ni ngumu hasa eneo la goalkeeper bora maeneo mengine inawezekana
January tushushe CF ,Beki mmoja au kiungoArsenal anahitaji kuboresha striker na beki wa maana ili tuwe na wigo mpana WA wachezaji ,kilichomsaidia city kuchukuwa kombe zote zile alikuwa na wigo mpana wa wacheza,umewahi kuwaza watu kama maharaizi anatokea benchi tena amechanganyi na foden wanatokea Bench's,sasa inafaa ifikie maahal arsenal best player wanatokea benchi na apo ndo unamchanganya opponents wako wanashindwa kujua Nani anaanza
Na akina tomiyasu ana act kama kiungo wa nneHuyu Pepe alifaa akutane na Martinelli kule pembeni avutishwe pumzi ya moto ajue umuhimu wa kustaafu kwa wakati.
Mbona hata hatuko moto kama msimu jana? Bado tunastruggle kutoka gia namba moja. Suala la kuwa na maneno, ni kwamba fursa ya kuongea ndiyo imepatikana sasa, yaani msimu jana, baada ya kulazimika kuwa kimya muda mrefu sana huku tukisikiliza majigambo na madongo ya Manyumbu, Livakuku na Chelkenge. Kama unavyojua, kwenye soka furaha ni ya muda mchache sana, hivyo ukiipata tu tambaa nayo mpaka itakapotoweka.Arsenal mko moto, tatizo mdomo.
Mna mdomo mpk mnakera
Unaonaje hili? Je ataleta la maana?Jaman tumesajili Scout kutoka Madrid ,Paul Xavier ,
Ni scout specialist kwa soko la Latin America tu
Alifanya kazi na Edu timu ya Taifa ya Brazil ,alikuwa scout wa man u academy
Paulo Xavier alihusika katika mikataba ya Rodrygo, Vini, Endrick, Valverde, Reinier. Na akiwa katika akademi ya Man Utd kama skauti wao wa Brazil alimleta Martinelli huko kwa majaribio kadhaa.
Arsenal tumekuwa wazembe kidogo kwenye soko la watoto wakiamerica
Naona Arsenal wameliona Hilo wameshusha huyu jamaa ,alikuwa chini ya Juni Calafat ,
Ataànza kazi January View attachment 2846581
Di Zerbi anasema hajawahi ku suffer Kama alivyokutana na Arsenal pale Emirates
Brighton ndiyo timu inaongoza kwa On target EPL nzima
Vs Arsenal walipiga on target 1 tu
Kuna intensity tukihitaji matokeo hasa tukiwa Emirates,Kama huwez kujishikilia unakula bao hata 10
Ule mpira tuliompigia Brighton,alipigiwa lens , PSV , unakimbizwa mwanzo mwisho ,
Tukipoteza mpira wote wanarudi wanaunda 4-4-2 mid blockView attachment 2846597
Yupo vzr ni scout wa muda mrefuUnaonaje hili? Je ataleta la maana?
Nataka kusema ametusaidia Madrid maana tumeshindashinda hivi karibuni ila Brazil si haina uhakika wa kufuzu World Cup, yaani viwango vimeshuka?
Tumtakie kila la heri atupatie mix ya South Americans nzuri. Alete wazee wa kazi kina Alexis Sanchez, Suarez, Vidal type na atuepushe wala bata wakupitiliza (hapa nawatania ndugu zangu brazilians maana wao ukiwakosea kidogo tu kuwatrain kwenye discipline, vipaji vyao utavifurahia uwanjani kidogo ila uwepo wao kwenye timu utakukasirisha. Ref. Neymar, Ronaldinho, Anderson...)
Kuna watu Wana mdomo dunia hii Kama man u?Arsenal mko moto, tatizo mdomo.
Mna mdomo mpk mnakera
Arsenal mko moto, tatizo mdomo.
Mna mdomo mpk mnakera
Huyo jamaa hapo alikua anapiga push ups au?Hakuna kocha dunia ya leo asietamani kuwa na Kai katika kikosi chake. Hakuna
View attachment 2846503
Body language ya Kai tu inakusaidia Kama kocha ku impliment mbinu zakoHakuna kocha dunia ya leo asietamani kuwa na Kai katika kikosi chake. Hakuna
View attachment 2846503