Wapi nimedharau ,mm nimesema Arsenal anaenda robo fainal Kama hujapenda kausha
Wewe Kama unataka kusikia Arsenal atafungwa wasubiri kina Flano wakwambie hivo
Sky sport wenyewe wameweka mtazamo wao hivi
The #UCLdraw percentages:
Porto-Arsenal 35%-65%
Napoli-Barcelona 40%-60%
PSG-Real Sociedad 60%-40%
PSV Eindhoven-Borussia Dortmund 45%-55%
Inter-Atletico 49%-51%
Lazio-Bayern 35%-65%
Copenaghen-Manchester City 30%-70%
Leipzig-Real Madrid 30%-70%
Nimesema Mimi unakuja na makasirikio
Miaka hiyo mkuu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hizi timu tumetoka nazo mbali sana.Nimecheki tena highlights. Error ya Fabianski na goli la falcao yakatuzamisha ila kweli walivyokuja kwetu, cha moto walikiona,
kabisa mkuu. Hawa acha tukutane nao tena tulipize kisasi upya.Miaka hiyo mkuu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hizi timu tumetoka nazo mbali sana.
Hawa wahuni tunapiga nje ndani af tunawasubiri hao wanaojiita wakubwakabisa mkuu. Hawa acha tukutane nao tena tulipize kisasi upya.
Akili inanituma kuwaza yaani tusipofika fainali msimu huu tutakuwa tumefanya uzembe sawa sawa na ule tuliofanya last season wa kuamua kumpigia cut-back man city kwenye ubingwa wakati tulitakiwa kumalizia wenyewe.Hawa wahuni tunapiga nje ndani af tunawasubiri hao wanaojiita wakubwa
[emoji1][emoji1][emoji1]Tuanze maandalizi ya robo fainal
Ukinuna kula limao
Kuna watu Basi watakasirika
Mkuu ile Haaland kiatu, Arsenal ndoo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji1][emoji1][emoji1]
Flano na genge lake watachukia ukisema hivyoMkuu ile Haaland kiatu, Arsenal ndoo[emoji3][emoji3][emoji3]
Sasa hivi tunaipiga TUKUTANE WEMBLEY
Hapa ndio umeandika nini na wewe!Mpira sio rahisi hivyo wewe mhuni eti fulani kapita fulani katoka,Man U aligongwa na Bournamouth tena OT goli 3 lakini jana kadinda Anfield,ingekuwa ni rahisi kama ulivyoandika hapo basi kusingekuwa na haja ya wanaume 11 kuingia uwanjani,acha ufala
twende nayo tu hiyo TUKUTANE WEMBLEY. Tutawakera sana Kuku, Nyumbu,Kenge, Mijusi milia na hata vile vikuku vya white hart lane pale,Mkuu ile Haaland kiatu, Arsenal ndoo[emoji3][emoji3][emoji3]
Sasa hivi tunaipiga TUKUTANE WEMBLEY
Kweli mkuu timu za UCL hazina quality kiasi hicho, Ni kuwa committed tu kila mechi,Akili inanituma kuwaza yaani tusipofika fainali msimu huu tutakuwa tumefanya uzembe sawa sawa na ule tuliofanya last season wa kuamua kumpigia cut-back man city kwenye ubingwa wakati tulitakiwa kumalizia wenyewe.
Yule jamaa wa mijusi milia hajakatiza pua yake kitambo sana humu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]twende nayo tu hiyo TUKUTANE WEMBLEY. Tutawakera sana Kuku, Nyumbu,Kenge, Mijusi milia na hata vile vikuku vya white hart lane pale,
Kifuta machozi akampata Fulham. Raul Jimenez akala red card dk 22. Wakampiga 3-0. Kidogo hilo linaweza kumpa ujasiri wa kuja huku ila bado hajaonekana 😀😀Yule jamaa wa mijusi milia hajakatiza pua yake kitambo sana humu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Wahuni kule UCL wamempiga "mtoto halali na pesa"
Sijaona anae mtreat porto kama favorite ila kilichozungumzwa humu ni matarajio na uhalisia, japo nafasi kubwa tunayo sisi Arsenal ila sio kigezo cha kupita moja kwa moja kabla ya game kuchezwa, mpira una matokeo yake tofauti kabisa.Haya mambo yapo everywhere zinapokutana timu mbili kuna underdog na favourite. Hata ukisikiliza mazungumzo ya underdog utawasikia wakipanga mikakati ya kumzuia favourite wakati favourite anapanga kumuua underdog.
Hata ukimuuliza kocha wa Porto atakubali kuwa yeye anapanda mlima huku Arsenal anashuka, lakini hiyo haiondoi nafasi ya underdog kumsurprise favourite.
Kimsingi underdog na favourite ni mentality za game approach kwa mtu anayejua ABCs za mpira na si dharau dhidi ya mpinzani.
Anayebisha Porto sio underdog kwa Arsenal alete odds za betting company zooote tuone maana hao wanarisk kuliwa hela zao so hawawezi fanya joking hata kidogo.
Sasa namshangaa mtu anapotaka tumtreat Porto kama favourite, hilo halipo. Atavamiwa kama underdog unless aje na surprise package ya kutufanya tubadili game plan.
Sisi kumpa hadhi yake ya underdog haimzuii kwa namna yoyote kufanya anachotaka kufanya, hata akishinda hii tie ukweli utabaki kuwa ni underdog kwetu, simple.