whitemoney
JF-Expert Member
- Nov 9, 2023
- 1,192
- 2,550
namtafuta kwenye majukwaa mbalimbali simwoni,Ana mdomo sana yule dada🤠🤠🤠....vurugu nyiiingii halafu wanamtegemea Salah...siku akiamka vbaya wanakuwa wanazurura....Liver ukiwazuia kwny Counter attack wanakuwa hawana tofauti na Gwambina tu
Tactician kama De Zerbi anasema haya maneno sasa kuna nyumbu wa JF atakwambia nyie mnajikuza, mnajipa false hopeDe Zerbi:
"Arsenal played much better than us. They deserved to win the game. We suffered a lot. I think Arsenal are one of the best, maybe this season the best team in the Premier League.
We are not used to suffering in this way. We are used to controlling the game."
tunawakumbusha mara nyingi tu., history hazichezi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Arsenyau tunakumbushana kwa nia njema tu, msimu ulioisha mpaka mwezi April Arsenyo ilikua inaongoza ligi kwa points 8 mbele dhidi ya timu iliyokua nafasi ya pili, mpaka kufika mwezi may nadhani kila mmoja humu anajua msimamo wa ligi ulikuaje.
Sijapenda kabisa leo Kuku kishingo kukosa points zake 3 pale kwenye dimba la Anfield. View attachment 2845492
eti unasemajeMpo hapo mlipo sababu ya Man utd lakini hamtoi mkono wa shukrani mnasifia kuwabana BHA.
Kupata droo ya 0-0 pale anfield sio kazi ndogo jamani.
Kimsingi man utd ndio ameibeba Arsenal kuwa kileleni.
Hao hawafai kabisa, hapo wata kuja kufanya biashara nzuri baadaeHawa leverkusen hatari, wanaweza mtoa mtu roho. Wakitulia suala la kumfunga mtu 8 ni kawaida tu 😂🤣, huyu frimpong ni winger chache duniani inatumia mguu wa kulia na inatokea upande wa kulia na inasumbua
Acha kulia Lia, kila mtu ashinde mechi zake 😂🤣😁😀Mpo hapo mlipo sababu ya Man utd lakini hamtoi mkono wa shukrani mnasifia kuwabana BHA.
Kupata droo ya 0-0 pale anfield sio kazi ndogo jamani.
Kimsingi man utd ndio ameibeba Arsenal kuwa kileleni.
Ona huyu naye🤠🤠...umepata point 1 unasema umetusaidia kwli???...midomomidomo kama hii ndo maana huwa tunaomba Baba Ubaya kichwa manundu Ten Hag awe anadundwa kwasababu mashabiki wake mna mdomo mchafu sana....sisi hatukuomba msaada kwenu...Kila mtu apambane na matatizo yakeMpo hapo mlipo sababu ya Man utd lakini hamtoi mkono wa shukrani mnasifia kuwabana BHA.
Kupata droo ya 0-0 pale anfield sio kazi ndogo jamani.
Kimsingi man utd ndio ameibeba Arsenal kuwa kileleni.
Natamka mapema kuwa mimi simsubiri aboronge na natamani aendelee kuboreka mpaka afikie pale napotamani kuona amefika ili nimkubali.Wapo wasiompenda wanasubiri aboronge, tuendelee kumpa muda binafsi naona bado hajafika kwenye level anayotakiwa kufika
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]dah wewe jamaaMpo hapo mlipo sababu ya Man utd lakini hamtoi mkono wa shukrani mnasifia kuwabana BHA.
Kupata droo ya 0-0 pale anfield sio kazi ndogo jamani.
Kimsingi man utd ndio ameibeba Arsenal kuwa kileleni.
Ila wametusaidia. Ubingwa unatutafuta kama last season lakini kama kawaida tutaunyea.Manyumbu yamedraw na Liverpool, yanalazimisha ushikaji na sisi[emoji1787][emoji1787]