Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,525
- 235,264
Tupo palee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] haina haja ya kupiga ramli we subiria tu ikifika may tunakuja na Id mpya ya Alhamisi88.
Halafu waambie kabisa ndugu zako wa livapuli kesho wakijifanya kutaka kupishana na sisi watachezea mvua ya magoli, salama yao wapaki basi waforce draw[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hawa nyau ndio wanyonge wetu, tusipo zitambia hizi Kima tutamtambia nani?
Naona mmekuja kutafuta huruma kwa arsenyani 😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hawa nyau ndio wanyonge wetu, ila na nyie livapunda kuweni na utu basi, kwani mkitufunga 1-0 au 2-0 mtapungukiwa kitu gani?
Kama points ni zilezile 3 tu, kumfunga Man utd goli 7 ni kujitafutia laana za bure tu halafu mwisho wa msimu hata top4 mnashindwa kutoboa.
Goli 7 zinaweza mfanya hata mtoto mdogo aonekane mzee, kamwe siwezi kuisahau sura ya rashidi ilivyokua baada ya kile kipigo cha mbwa koko. View attachment 2844125
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hawa kima eti leo wajifanya kutuombea tumgonge au hata tusuluhu na nyinyi ili gape lao na nyinyi lipungue.Naona mmekuja kutafuta huruma kwa arsenyani [emoji23]
Wanawafariji eti pangeni mabeki tu
Hakuna picha hamtaona mwaka huu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Vipi Rashid Mpemba naye atakuwepo?[emoji1787]
Nashangaa huu Upendo arsenyeto wameutoa wapi 😂😂😂😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hawa kima eti leo wajifanya kutuombea tumgonge au hata tusuluhu na nyinyi ili gape lao na nyinyi lipungue.
Kikubwa mpaka sisi mashabiki wa Utd kesho tunawaombea Liverpool na Brighton wote wapate points3.
Acha roho mbaya mkuu. Piga hiyo livapunda, mimi nichinje hizi njiwa bahari (seagulls) niketi zangu pale juu kileleni ninapostahili.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hawa kima eti leo wajifanya kutuombea tumgonge au hata tusuluhu na nyinyi ili gape lao na nyinyi lipungue.
Kikubwa mpaka sisi mashabiki wa Utd kesho tunawaombea Liverpool na Brighton wote wapate points3.
[emoji16][emoji16] wewe ndo wakuwatisha Liver kiasi hiki[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] haina haja ya kupiga ramli we subiria tu ikifika may tunakuja na Id mpya ya Alhamisi88.
Halafu waambie kabisa ndugu zako wa livapuli kesho wakijifanya kutaka kupishana na sisi watachezea mvua ya magoli, salama yao wapaki basi waforce draw[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu dalili za kuwa mchawi ukiwa Babu huwa zinaanza hivihivi🤠🤠....hzo ndo dalili za mwanzo kabisa....unaacha kihangaika na ya kwenu tena unaombea kabisa mfungwe eti na sisi tufungwe pia....utaratibu ni uleule huwa hatufungwi mechi 2 mfululizo...hlo suala kwetu halipo[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hawa kima eti leo wajifanya kutuombea tumgonge au hata tusuluhu na nyinyi ili gape lao na nyinyi lipungue.
Kikubwa mpaka sisi mashabiki wa Utd kesho tunawaombea Liverpool na Brighton wote wapate points3.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ukiachana na tulivyombahatisha 2-1 msimu ulioisha kwenye round ya kwanza hivi unajua mara ya mwisho man utd kumfunga livapunda ilikua ni mwaka gani?Acha roho mbaya mkuu. Piga hiyo livapunda, mimi nichinje hizi njiwa bahari (seagulls) niketi zangu pale juu kileleni ninapostahili.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hio ndio mikwara yetu kina MANdoga.[emoji16][emoji16] wewe ndo wakuwatisha Liver kiasi hiki
[emoji16] navyomkubali Ten hug kesho lazima awatulize mashabiki na bodi nzima ya Nyumbu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hio ndio mikwara yetu kina MANdoga.
Tukishinda kama tumeshinda na tukishindwa kama tumeshinda, kwenye football hakuna raha kama kuwa shabiki wa Manchester.
Siku hizi kuna Man Utd ya kabla ya mechi na Man utd baada ya mechi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mimi furaha yangu kubwa ni kuona tu Arsenyau wanateseka haijalishi timu yangu inapitia kwenye kipindi gani.Mkuu dalili za kuwa mchawi ukiwa Babu huwa zinaanza hivihivi[emoji1783][emoji1783]....hzo ndo dalili za mwanzo kabisa....unaacha kihangaika na ya kwenu tena unaombea kabisa mfungwe eti na sisi tufungwe pia....utaratibu ni uleule huwa hatufungwi mechi 2 mfululizo...hlo suala kwetu halipo
Arse8 toka lini wakawapenda nyumbu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hivi wewe unajua mara ya mwisho man utd kumfunga livapunda ilikua ni mwaka gani?
Nakukumbusha tu kipindi hicho Diamond alikua bado yupo kigoma anauza kahawa hata mawazo ya kuja Dar alikua hana.
Kwa taarifa yako hii siku waliyopiga hii picha ya pamoja Esma, Rommy jones na chibu ndio ilikua mara ya mwisho utd kumfunga livefool. View attachment 2844146
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] sisi mashabiki wa Utd mbona tulisha wastukia mapema sana tu, kama msimu ulioisha jinsi tulivyo simama na mliMancity msimu huu tutasimama na livapunda mpaka tuhakikishe Arsenyau anatoka mikono mitupu.Arse8 toka lini wakawapenda nyumbu
Ni mtego huo[emoji23]
Wajaa laana hawa heri mmewastukia[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sisi mashabiki wa Utd mbona tulisha wastukia mapema sana tu, kama msimu ulioisha jinsi tulivyo simama na mliMancity msimu huu tutasimama na livapunda mpaka tuhakikishe Arsenyau anatoka mikono mitupu.
Miaka 20 bila Epl, miaka 1000 bila ya kombe lolote la Uefa halafu na wao eti wajiita maGiant[emoji23][emoji23][emoji23]
Kesho pale anfield tunafunga hesabu ya kibarua Cha mtu[emoji16] navyomkubali Ten hug kesho lazima awatulize mashabiki na bodi nzima ya Nyumbu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa umoja wetu mashabiki wote wa Epl tunatakiwa tuwe humu tunawapiga spana 24/7 hawa wajaa laana.Wajaa laana hawa heri mmewastukia[emoji23]
Na mwaka huu pia ni wasindikizaji wasio na tiketi.
Kikosi Cha wahuni, labda wabebe vikombe vya chai[emoji23]
Kila siku wanashinda kuwatukana kwenye uzi wenu
Halafu leo eti wanawashauri namna ya kupanga Kikosi[emoji23]
Hawa wapiga baruti bhana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa umoja wetu mashabiki wote wa Epl tunatakiwa tuwe humu tunawapiga spana 24/7 hawa wajaa laana.
Kwanza hii sio timu ni kikundi tu cha wauza karanga.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu lakini wana makombe mengi ya Emirates kuliko timu yoyote duniani[emoji16][emoji16][emoji16]Hawa wapiga baruti bhana
Timu gani haina kikombe chochote miaka nenda miaka rudi
MShukuru korona kwa sana..ili wara hishia mambo sasa kazi ipo uku.. mkaze tuoneHawa wapiga baruti bhana
Timu gani haina kikombe chochote miaka nenda miaka rudi