Grupu jepesi Sana lile , PSG,AC MILAN wapo hoi bin taaban, BVB kule Bundesliga wanajipigia tuLile group nakuhakikishia tungekuwepo sisi ambao wangetusumbua kidogo ni Dortmund....yaani tungemaliza na point 13+ safi kabisa....hakuna ambaye angekuja Emirates akapata hata sare...lakini hii mitutusa Nyukesto imedundwa mechi 2 palepale Nyumbani kwao....wanachojua wao ni kufanya vurugu tu uwanjani sio kucheza mpira....Sasa kwa style hyo huwezi kufanikiwa
Goals scored in the Champions League group stage 23/24[emoji460]️
Man City - 18
Arsenal - 16
Man Utd - 12
Newcastle - 6
Goals conceded in the Champions League group stage 23/24 [emoji460]️
Arsenal - 4
Newcastle - 7
Man City - 7
Man United - 15View attachment 2842015
Iwe ni Karma au isiwe Karma....watu ambao tuna jicho la mpira tumeshaona tangu msimu unaanza Hawa vijana hawana mpira wa kutosha....mwaka jana walipata hyo top 4 kwa sababu kuna timu zilikuwa taabani sana ila vngnevyo wasingepata kitu....Sasa hiki kinachotokea ni uhalisia wa uwezo wao kama timu....nilishawaambia wanahitaji kama misimu 3 wajitafute ndo waanze kuja kutujazia nzi hmu
Mkuu mi huwa napenda ku allocate resources pale zinapofanyia kazi vzuri...najua tuna Blanco... Tomiyasu...Saliba.. Gabriel...Kiwior na Timber...Hawa wte wanacheza Center half na sasahv pia Rice mara moja moja anaweza kupiga beki wa kati...ila White na Tomiyasu mm nataka tuwaoane kama ni full backs....tunahitaji Kila nafasi uwanjani tuwe na watu wawili wa maana Ili hata mtu asipokuwepo timu isi drop na ndo maana SAliba anahitaji msaidizi... Malgalhaes mbadala wake ni Kiwior....Timber awe mbadala wake ni Zinchenko...tukifanya hvyo maana yake tyri tutakuwa na watu wawili wazuri Kila eneo kule nyuma....then Rice apate mtu mwingine wa kazi chafu wa kupokezana naye pale kati...Partey haaminiki tena....Jesus apate mtu mkatili pale mbele...hii itampq pia Saka nafasi ya kupumzikq na nafasi yake kucheza Jesus maana anaweza kukava vzuri...Martinelli na Trossard ama Nelson... Odegaard na Smith Rowe... Havertz na Smith Rowe tena au Vieira au Trossard.....yaani unakuwa na vikosi viwili strong....sijui nimeeleweka[emoji1783][emoji1783][emoji1783]
Nyukasto hawez kupata nafas ya UCL tena kwasasa ,anamtoa Nani pale top 4Nadhani uko sahihi. Kinachotokea pale ni coincidence kati ya ‘mlipuko’ wa fedha za tajiri mpya na kuyumba kwa viwango vya team kama Chelsea na Liverpool last season.
Eddie Howe bado hana experience ya kutosha kusumbua Uefa, lakini hata wachezaji walionao wengi hawana experience kwenye Uefa.
Wakimaintain misimu kadhaa huku wakiendelea kujiimarisha kwa kuwa na structure na philosophy ya club wanaweza kuanza kuingia kwenye ‘elite clubs’ ila so far, binafsi nawaona kama ‘wapita njia’ ndio maana hata huwa siwajadili, wakionesha seriousness over time, then we can talk. Don’t feel embarrassed @Nyukasto, chance for discussion is open.
Sarri muhuni sanaGrupu jepesi Sana lile , PSG,AC MILAN wapo hoi bin taaban, BVB kule Bundesliga wanajipigia tu
Halafu mtu anakwambia eti kundi la kifo[emoji1787][emoji1787]
UCL timu nyingi zimebaki majina
Naungana na zege la nyasi ,Mikel aongeze beki wa Kati mwenye uwezo wakucheza pemben na kiungo mmoja anayeweza kucheza LCM na DM, mrefu pande la mtu
UCL Kama nilivyosema ,timu nyingi Ni dhaifu
Sarri kocha wa Lazio kasema yeye anataka mterezo na kaomba mapema apewe Barcelona [emoji1787][emoji1787]
Lazio manager Maurizio Sarri:
“I’d like to face Barcelona at UCL round of 16, honestly”.
Ninachoomba Mancity wanitolee ,Hawa wengine watanieleza vzr
Why mancity ,sipend kucheza na timu inayotaka na yenyewe imiliki mpira ,mechi mbili za mwaka huu zote zimeenda Kama 50/50
Lakini Hawa wengine watake wasitake watapakishwa basi kilazima
TUKUTANE WEMBLEY MWEZI MAY
View attachment 2842380
🤣🤣🤣....Computerarsenal unamuonea tu...yule huwa ana criticize lakini kwny uhalisia huwa anakubali....ila hyu wa Nyukesto yy huwa anaandaa mafaili yake ya kujipooza na stats kibao ilhali Kila anacholeta hmu ni pumba tu akisaidiwa na Security guard Flano🤠🤠🤠..yule muangalieni tu na tutaenda naye hvyohvyoBinafsi naamini huyu shabiki wa Newcastle ndio yule computerarsenal, na huyu inaonekana ni shabiki wa Man united, anachofanya ni kuvuruga hali ya hewa humu kwani inamfanya ajisikie raha, ndio maana anatafuta kila namna ya kuikosoa arsenal, hii inamfanya ajisikie vizuri sababu kuukubali ukweli arsenal inafanya vizuri ni maumivu makali kwa shabiki yoyote wa manunu.
Huyu alishasema Leicester city na Brendan Rodgers ni bora kuliko Arsenal na Arteta, kuna kipindi kachafua sana server humu kwa hoja za Conte na Spurs dhidi yetu, leo jahazi limezama anatafuta unafuu kupitia Newcastle na Eddie howe kesho ataleta hoja za Aston villa na Unai, kesho kutwa tujiandae kwa fujo za RDZ na brighton yote ni kutafuta unafuu.
Conclusion
Huyu Jamaa apuuzwe, ni mpumbafu.
Tukicheza kwa nidhamu na kuheshimu wapinzani wetu basi semi final hii hapa, afu huko lolote litokee tu. Wababe wakusumbuana nasi ni watatu, Man City, Bayern & Madrid.Hizi ndio timu zilizofuzu hatua ya 16 bora kwenye michuano ya klabu bingwa Ulaya 2023/24.
Walioongoza Makundi
[emoji629] Bayern
[emoji1022] Arsenal
[emoji633] Real Madrid
[emoji633] Real Sociedad
[emoji633] Atlético
[emoji629] Dortmund
[emoji1022] Man City
[emoji633] Barcelona
Waliomaliza nafasi ya pili katika Makundi
[emoji1087] Copenhagen
[emoji1179] PSV
[emoji634] Napoli
[emoji634] Inter
[emoji634] Lazio
[emoji632] PSG
[emoji629] RB Leipzig
[emoji1201] Porto
Walioburuza Mkia
1.Manjesta
2.Nyukasto
Nakubaliana na wewe ,ila sio Computer arsenalBinafsi naamini huyu shabiki wa Newcastle ndio yule computerarsenal, na huyu inaonekana ni shabiki wa Man united, anachofanya ni kuvuruga hali ya hewa humu kwani inamfanya ajisikie raha, ndio maana anatafuta kila namna ya kuikosoa arsenal, hii inamfanya ajisikie vizuri sababu kuukubali ukweli arsenal inafanya vizuri ni maumivu makali kwa shabiki yoyote wa manunu.
Huyu alishasema Leicester city na Brendan Rodgers ni bora kuliko Arsenal na Arteta, kuna kipindi kachafua sana server humu kwa hoja za Conte na Spurs dhidi yetu, leo jahazi limezama anatafuta unafuu kupitia Newcastle na Eddie howe kesho ataleta hoja za Aston villa na Unai, kesho kutwa tujiandae kwa fujo za RDZ na brighton yote ni kutafuta unafuu.
Conclusion
Huyu Jamaa apuuzwe, ni mpumbafu.
Huwa sisomi anachoandika huyu jamaa wa Newcastle, ila kwa kuwa ni kinganganizi kuandika humu that's why namuona kama computer and i entirely believe ni computer na inawezakuwa ni flano au yule mwenzie wa unyumbuni lkn all in all ni shabiki la manunu🤣🤣🤣....Computerarsenal unamuonea tu...yule huwa ana criticize lakini kwny uhalisia huwa anakubali....ila hyu wa Nyukesto yy huwa anaandaa mafaili yake ya kujipooza na stats kibao ilhali Kila anacholeta hmu ni pumba tu akisaidiwa na Security guard Flano🤠🤠🤠..yule muangalieni tu na tutaenda naye hvyohvyo
Yah uzuri kuzuia tunaweza na kufunga tunaweza,Hakuna goli la ugenini,Tukicheza kwa nidhamu na kuheshimu wapinzani wetu basi semi final hii hapa, afu huko lolote litokee tu. Wababe wakusumbuana nasi ni watatu, Man City, Bayern & Madrid.
Kwasasa Kama wameshikwa GanziHuwa sisomi anachoandika huyu jamaa wa Newcastle, ila kwa kuwa ni kinganganizi kuandika humu that's why namuona kama computer and i entirely believe ni computer na inawezakuwa ni flano au yule mwenzie wa unyumbuni lkn all in all ni shabiki la manunu
Hii picha sio kwamba Bruno anasononeka kutokufika final ila anawaza ni lini atapata nafasi ya kucheza michuano km hii tena. Anafika mbali na kufikiria kwanini hakusajiliwa na timu kama Arsenal ili apate fursa ya uhakika kucheza Uefa na kulichukua kombe pia😁Nakubaliana na wewe ,ila sio Computer arsenal
Huyu anadai alikimbilia Newcastle sababu alidai msimu wataongoza ligi
Ni mdogo kiumri ana akili za kitoto ,niliwahi jadiliana nae Sana ,nilipogundua Ni mtoto nikamkataa mazima
Akili yake ilikuwa inamtuma sababu Newcastle imenunuliwa na waarabu Basi itakuwa Kama Mancity ,asijue mpira haupo hivo
Cha ajabu Sasa Newcastle hiyo kwasasa haiwezi kunusa hata top 6 ,aliongea Sana na kuponda Arsenal kuwa tunaenda UCL kushiriki tu ,tulipopigwa na Lens ndipo akazidi zaidi,
Nilisema Newcastle Ni timu ya Vibe tu na fujo tu ,
Sasa hivi anaona aibu akija humu atasubiri sapoti ya watafuta furaha kina flano na yule Mkohoti
View attachment 2842440
Madrid wenye individual brilliance, bayern & city, naamini tukishikilia bomba na defense ya timber, tomi, saliba, gabriel, partey & rice tutatoa upinzani mkali sana. Kama tutafika final tutegemee kuona final moja kali mno ambayo haijaokea hivi karibuniYah uzuri kuzuia tunaweza na kufunga tunaweza,Hakuna goli la ugenini,
Kila mechi ya kwanza tupige intensity ya juu tutafute mtaji wa goli 2+
Mechi ya 2 kufunga duka
Ww jamaa mda mwengine unajitoa akili hilo ndo lilikuwa group la kifo halafu ww unasema halikuwa jepesiKwanini Sasa walikuwa na mdomo na kelele Kama group Lao Lilikuwa gumu
Hilo group halikuwa gumu ,majina ndio yaliwatisha
PSG ,AC Milan wapo kawaida ,BVB hata kule Germany ana struggle na ndiye katop Group
Newcastle uwezo wao mdogo
Hizo historia ,hazichezi ,ingekuwa hivo Barcelona last season asingeenda Europa ,msimu huu wenyewe ilibaki kidogo wampeleke EuropaWw jamaa mda mwengine unajitoa akili hilo ndo lilikuwa group la kifo halafu ww unasema halikuwa jepesi
Ac Milan bingwa mara 7
Dortmund ana misimu karibu 6 anafika hatua ya 16 na ashafika hadi final
Psg kila mwaka yupo Uefa na alishacheza hadi final
Newcastle ndio timu pekee kibonde kwenye hilo group ulitemegea angefika wapi
Sisi tunachofanya ni kutunza hizi risiti halafu baadae tuje kukumbusha maana mpira wa mdomoni haujawahi kuwa mgumu bali uwanjaniGrupu jepesi Sana lile , PSG,AC MILAN wapo hoi bin taaban, BVB kule Bundesliga wanajipigia tu
Halafu mtu anakwambia eti kundi la kifo[emoji1787][emoji1787]
UCL timu nyingi zimebaki majina
Naungana na zege la nyasi ,Mikel aongeze beki wa Kati mwenye uwezo wakucheza pemben na kiungo mmoja anayeweza kucheza LCM na DM, mrefu pande la mtu
UCL Kama nilivyosema ,timu nyingi Ni dhaifu
Sarri kocha wa Lazio kasema yeye anataka mterezo na kaomba mapema apewe Barcelona [emoji1787][emoji1787]
Lazio manager Maurizio Sarri:
“I’d like to face Barcelona at UCL round of 16, honestly”.
Ninachoomba Mancity wanitolee ,Hawa wengine watanieleza vzr
Why mancity ,sipend kucheza na timu inayotaka na yenyewe imiliki mpira ,mechi mbili za mwaka huu zote zimeenda Kama 50/50
Lakini Hawa wengine watake wasitake watapakishwa basi kilazima
TUKUTANE WEMBLEY MWEZI MAY
View attachment 2842380
Mbona mliposema hatutafuzu hamzifukuiSisi tunachofanya ni kutunza hizi risiti halafu baadae tuje kukumbusha maana mpira wa mdomoni haujawahi kuwa mgumu bali uwanjani
Tusubiri February hapo wala sio mbali uone hizo timu nyepesi zitakapo badilika ndo utaelewa kwann ile ni Uefa