Hii takwimu sijui kama imebadilika ila Arsenal ndiyo timu inayoongoza kwa magoli ya kona ila defense yetu against set pieces iko questionable mno kwa sasaZote hizo tunatakiwa kuboresha. Najiuliza solidity kwenye set pieces imeenda wapi? Kuna game tungeshinda, kama Fulham 2-2, kama tungejilinda vizuri kwenye kona. Luton alipata magoli mawili ya kona. Tulishinda game 3-4 ila tungewapiga hata 1-3 au 1-4, tungekuwa na GD sawa na kina Liverkuku. Tusingepigwa goli la mchongo Mijusi, tungekuwa tunaongoza GD....
Anyway, wanasemaga "Hindsight is 20/20" ila tunapaswa kuimarika kila idara. Magoli ya kufungwa lazima yapungue, ya kufunga lazima yaongezeke.
Last season tulienda muda mrefu sana bila kupigwa kwa set piece, iwe kona ama freekick. Then tukapigwa kona moja na ghafla ikawa kama mafuriko tukaanza kupigwa hovyo kwenye set pieces. Na imeendelea. Jover aanze kazi upya.Hii takwimu sijui kama imebadilika ila Arsenal ndiyo timu inayoongoza kwa magoli ya kona ila defense yetu against set pieces iko questionable mno kwa sasa
Kesho ukiongea na yule kibaraka wa Nyukesto mwambie tukiyomtabiria yte yametokea....tulimwambia Dortmund na PSG ndo watapita na wameshapita...na tulimwambia hafikishi point 9 na hazijafika kwli🤠🤠🤠...ukishakuwa na kikundi cha wafanya Fujo uwanjani usitegemee kupata matokeo chanya siku yyte....Newcastle wasiposhinda mechi yao ni wao hawajataka. Sijaona midfield ya kichovu na wasteful kama ya milan.
Tutampa tu pole. Walikuwa na nafasi nzuri ya kushinda ila hawakuitumia. Ni vizuri pia wametoka huku wapunguze takataka champions league. Pia ni vizuri wameburuza mkia maana waliambiwa itakuwa hivyo. Wamekaa miongo bila champions league hivyo inapendeza kuona wameburuza mkia wasijipe false hopes kuwa nao wanauwwza muziki wa huku champions league.Kesho ukiongea na yule kibaraka wa Nyukesto mwambie tukiyomtabiria yte yametokea....tulimwambia Dortmund na PSG ndo watapita na wameshapita...na tulimwambia hafikishi point 9 na hazijafika kwli🤠🤠🤠...ukishakuwa na kikundi
Eliminating Manchester Utd and Newcastle Utd in the UCL group stage will allow Arsenal to gain additional prize money from the market pool [emoji636].
The further the Gunners go in the competition, the more they will earn. ManCity's potential knockout stage defeat will be an added bonus.
Aje yoyote yuleHapa yeyote anayekuja tunamfungia Busta na Gear no.2 ,
Arsenal’s potential Champions League last-16 opponents:
[emoji1087] Copenhagen
[emoji632] PSG
[emoji629] RB Leipzig
[emoji634] Inter Milan
[emoji634] Lazio
[emoji634] Napoli
[emoji1201] FC Porto
#afc
Niliamuambia kipindi kile nafasi walioipata ya kucheza UEFA msimu huu hawatakaa waipate tena mpk baada ya miaka 20🤠🤠🤠...Sasa ntakuwa namkumbusha Kila msimu kudadeki....Hivi kwli kabisa Gordon na Almiron wakupeleke hatua ya 16 Bora kwli,???....Zile zilikuwa dharau🤨🤨Anyway, Labyrinth 84 nilikuambia uanzishe uzi ili tujue tunakupata wapi ukagoma.
Uache kuishi kama Yahaya we mwanapropaganda.