Labyrinth 84
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 1,106
- 3,180
Kipa wa Arsenal, Raya amesababisha magoli mawili, sawasawa na mchezaji mzoefu kuliko wote nyukesto Trippier.
Ana assists 7.Beki mzoefu mwenye assists nyingi kuliko mchezaji yoyote wa arsenal pia hilo mbona huliweki.
Anyway hivi pale st james mlishinda ngap?mnajificha kwenye mgongo wa Tottenham naona ila mnasahau ubabe tuliowaonyesha pale st james.
Naona unakesha ili PSG ashinde maana aki draw tu tupo 16 mpaka quater final huko or hata tukienda europa tutabeba so sisi lolote sawa tu .
Maana 16 bora ndo hatua yenu kubwa zaidi UEFA mlichojitahidi tu ni kumaliza nafasi ya kwanza makundi baada ya miaka zaidi ya 15
Huijui Arsenal.Beki mzoefu mwenye assists nyingi kuliko mchezaji yoyote wa arsenal pia hilo mbona huliweki.
Anyway hivi pale st james mlishinda ngap?mnajificha kwenye mgongo wa Tottenham naona ila mnasahau ubabe tuliowaonyesha pale st james.
Naona unakesha ili PSG ashinde maana aki draw tu tupo 16 mpaka quater final huko or hata tukienda europa tutabeba so sisi lolote sawa tu .
Maana 16 bora ndo hatua yenu kubwa zaidi UEFA mlichojitahidi tu ni kumaliza nafasi ya kwanza makundi baada ya miaka zaidi ya 15
Hebu nipe idadi ya hao majeruhi na nipe data kwmba kabla hawakuumia hawa watu timu ilikuwa nafasi ipi..tuone impact ya kuumia kwao🤠🤠🤠...unaishi kijanjajanja sanaLabda hujui timu inayoongoza kwa ushindi mkubwa ni sisi pia
Newcastle vs Aston villa 5:1
Sheffield vs Newcastle 0:8
Newcastle vs crystal 4:0
Newcastle vs chelaea 4:1
Majeruhi na wewe unajiita una majeruhikwa huyo partey na timber? Nikikuiliza unitajie wachezaji wa 3 wa arsenal wanaoanza ambao ni majeruhi hamna.
Team yenye clean sheet nyingi mpaka sasa ni Newcastle nakukumbusha tu.
Vingine tutumie akili, henry kauzwa lini alikuwa na umri gani, mkataba wake ulikuwa ukoje, situation ya kuondoka ilikuwa ipi!?Umenikumbusha nilikua naangalia game yenu na aston villa sasa pembeni yangu alikaa false hoper mmoja analalamika jesus hana makali yoyote nikamuuliza si mna sub aingie nan? Akaanza kuongelea mambo ya osimhen😂😂 nikamwambia huyo mchezaji wa napoli tusubiri Nketiah ataingia , akaanza ooh hela ya kai na balogun si inatosha kumnunua osimhen, nikaona yale yale ya false hopes😂
Swala la bei ya wachezaji sikuleta mimi ni castr kaleta kutudanganya kuwa saka akiuzwa atauzwa 120M ndo nikauliza kwa nia njema tu “ Arsenal wamepita kina henry, anelka, fabregas, van persie na wengine wengi je waliuzwa kwa bei inayazidi hata bei ya gordon tu 45M ? Tusikimbilie 120 wakati hata 50 hamjawahi kufika toka arsenal inaanzishwa.
Shida yake ni hicho tu ndicho anacho. Vingine ni dhaifu kidogo.Huyu utakuta humu akifunga unaambiwa ana finishing nzuriii
Jumapili ifike tu Sheffield afanye yake pale darajani tafadhali.Yani hawa kondoo akili zao bhana, eti wanadanganyana eti marefa wana njama juu yao,kwamba wana timu bora sana au?! hivi nani kawaroga hawa watu.
Shida yake ni hicho tu ndicho anacho. Vingine ni dhaifu kidogo.
Jana Michael Owen alisema jamaa ana finishing nzuri pia. Kwa hiyo siyo humu tu anakubalika kwa finishing, bali hata kwa mwana Newcastle mwenzako Michael Owen.
Nimepata habari kutoka chanzo cha kuaminika kwamba mnaenda kucheza Conference league maana UEFA wamesema kuikosa Manunu kwny mashindano ya Ulaya kqbisq kutqshusha sana mapato...hongereni majiranioyaaa HENRY14 nyumbu mpaka muda huu bado zimelala sijui kwa raha gani haswa walizonazo, mchukue ndugu yako Masingeli muende mkaziamshe ziende jikoni kupika uji. View attachment 2841196
Waambie wasituchoshe sasa hivi tunahitaji tupumzishe fuvu.Nimepata habari kutoka chanzo cha kuaminika kwamba mnaenda kucheza Conference league maana UEFA wamesema kuikosa Manunu kwny mashindano ya Ulaya kqbisq kutqshusha sana mapato...hongereni majirani
Kama unamaanisha hamis77 basi nakuhakikishia atakuwa alishafika kule unyumbuni kitambo sana. Sitashangaa kama alikesha kule na saivi anapiga mo energy huku akiendelea kuwapiga spanaoyaaa HENRY14 nyumbu mpaka muda huu bado zimelala sijui kwa raha gani haswa walizonazo, mchukue ndugu yako Masingeli muende mkaziamshe ziende jikoni kupika uji. View attachment 2841196
Mpige spana huyo current Gunner anayejiita former Gunner kinafki . Mara mia angehamia liverkuku kuliko hao mijusi mistari. Angekuwa liverkuku saivi angekuwa anasubiria kuja kujipigia nyumbu bao za kutosha. Sasa kampiga Sheffield 8 anajiona anajuuuuaaaa boli.Sasa clean sheet nyingi au siyo?
Mpo nafasi ya ngapi kwenye timu zilizoconcede goli nyingi?
Tangu msimu umeanza hadi muda huu naandika away mmeshinda mechi moja tu.
Nyumbu, laughingstock of the season, kashinda mechi tisa. Newcastle 8. Tangu 2021 hadi leo mmespend 440M hicho kiasi na mwenendo havifanani.
Siku hizi amerelax kidogo baada ya hasira kupungua na kulegeza moyo wake juu ya Arsenal. Niamini nakuambia jamaa anarudi mdogo mdogo Ze Ganaz. Ila mwanzoni wakati anahamia kwa mijusi kwa sababu tumekosa ubingwa...aisee alikuwa negative balaa na bonge la kero. Tunaishi naye tu kiushabiki ila kimaisha ya kawaida, watu negative wanaboa sana na wanapaswa kuepukwa kiafya. Ni tofauti sana kulumbana na kina Flano na Mkohoti kiutani wa kishabiki na kulumbana na Gunner mwenzio mwenye jeraha moyoni. Bahati nzuri Forgotten hajafikia kiwango cha huyu mwamba kwa kule Unyumbuni 🤣Huyo jamaa anaejifanya ni mshabiki wa Newcastle nilisham-ignore zamani sana.. Thanks to Jf kwa hii option sasa hivi sioni tena comments zake za utumbo.
Tulia awapige spana kijana 😂Huyo tapeli wa Newcastle mnajadiliana nae Nini,wakati timu yake inagombea kwenda nafas ya 10
Na Leo wanapigwa na kuburuza mkia
Zote hizo tunatakiwa kuboresha. Najiuliza solidity kwenye set pieces imeenda wapi? Kuna game tungeshinda, kama Fulham 2-2, kama tungejilinda vizuri kwenye kona. Luton alipata magoli mawili ya kona. Tulishinda game 3-4 ila tungewapiga hata 1-3 au 1-4, tungekuwa na GD sawa na kina Liverkuku. Tusingepigwa goli la mchongo Mijusi, tungekuwa tunaongoza GD....Timu zenye clean sheet kwa EPL Arsenal ni ya kwanza.
Ujue mashabiki wa Arsenal hatufuatilii hivi vitu vidogo vidogo kwakua sisi picha kubwa tuliyonayo ni kushinda na makombe tu.
Sasa timu ndogo hazina uhakika na makombe inabidi wafocus na takwimu zisizo na mchango kwenye safari.
Tafuta defense ngumu kuliko zote kwenye mpira kwa sasa, Arsenal hauikosi, lethal team away na home Arsenal hauikosi. Angalia GD yetu, angalia team play statistics.
Sasa hizo zote tupo vizuri isipokua hua hatuzifuatilii kama kipindi kile cha Emery