Lawama zimeanza au siyoDah, sio kwa kuonewa huku na hawa waamuzi.
Achilia mbali kuonewa kuna shida kwa martineli hayuko sawa natamanj arudi kuwa wa last season aiseeDah, sio kwa kuonewa huku na hawa waamuzi.
Possible ya konyoWe are dubbed king of late goals, will it be possible today?
Achilia mbali kuonewa kuna shida kwa martineli hayuko sawa natamanj arudi kuwa wa last season aisee
Cry more😂Lile goli lililokataliwa sijaelewa....ni Havertz kashika au faulo kwa kipa🤠🤠...maana sielewielewi yaani
Mbona chupuchupu imekushindaUzuri wa haters hawaangalii yakwao wanaangalia ya wengine, man fongo kafa kikatili bado wanapumzi ya kutubeza, kuku nao chupuchupu ashukuriwe VAR lakn wanajikuta wako firee haya twendee
January tunahitaji wachezaji 3
Points ngapi wamepata?oya wamba.. arteta ni mtu na nusu.. kwa walioangalia mpira ;arsenal lazima iku dominate ata game iweje.. big up kwake.
Asenyo banaaa, ukiwaasikia mbwembwe zao kabla ya mechi unaweza usipeleke timu uwanjani eti "Leo matokeo ni mawili tu Asenyau ishinde au Aston Villa afungwe"
Hamna kitu inanipa burudani kama kusoma comments za mashabiki wa Arsenyau timu yao inapofungwa.
Huwezi elewaLile goli lililokataliwa sijaelewa....ni Havertz kashika au faulo kwa kipa...maana sielewielewi yaani
Hawa ni wasindikizaji kama kawaida yao.Ntakua wa mwisho kuamini Arsenane hii ya watoto inaweza chukua ubingwa mbele ya wanaume wa kazi Liverpool au Man City