Hawajibu wamekimbia wooteMnasemaje hizi dk zimebaki tupate goli la pili?
Endelea kuota hivyo hivyoTuna shinda 3-1 take my word, UTA ona
Hatoki mtu leo hapo Villa parkTuna shinda 3-1 take my word, UTA ona
Nyumbu kichwa Cha mwendawazimuTuliza kichwa we nyumbu, dozi ni nzito [emoji23][emoji1787][emoji38]..
mkorea, Scars, hamis77 nyumbu Hawa wezi ona ya kwao, [emoji38]
View attachment 2837865
Waambie hawa.Yote tisa ila kumuachia Martinez tulipoteza kipa