Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Villa amechokoza Moto

Nimei-miss arsenal iliyotanguliwa alafu inapindua matokeo
 
Na mimi leo nipo hapa kuhakikisha nawasagia kunguni ipasavyo
London is blue
Ninyi washika manati wa Emirates
 
Kiufupi hamchomoki , mtapelekewa moto mpaka mkimbie pitch
Watching Asenyetoz miseries is my pleasure
 
Kama nyinyi au siyo
Mabingwa feki ,mxieww
Mnadhani ligi ya wakulima hii ?
Eti bingwa
Yaani ninyi asenyetoz Ninyi na genge lenu la wanywa ulanzi wenye utapia mlo akina Havertz ndio muwe mabingwa
, dharau sana hizi kwa ligi ya EPL na heshima ya hii trophy , haiwezekani
Kivumbi leooo
Na ile wenu mkimbie jukwaa , tunawafuata inbox huko huko
 
Mtachakaa sana leo ,tokeni huko kwenye Mapango yenu mlimojificha
Hapo bado Watkins mashetani hayaja mshika
 
Mpira wenyewe mnautafuta kwa tochi , hii ni timu au kijiwe cha vibaka panya road ?
 
Vikojozi asenyeto mmekuwa na kidomo domo sana baada ya ushindi wa papatu papatu mechi mbili tatu hivi zilizopita ,nawakumbusha tu hii ni Epl
Take care ,ninyi ni wasindikizaji tu
Msijipe umiliki wa title ambao hamna
Nyumbu kula chuma hichooπŸ€£πŸ˜‚πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…