arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,359
- 4,408
Mueleweshe taratibutaratibu ataelewa🤠🤠Iko hivi
Wachezaji na kocha wa sasa wa nyukesto wameifikisha kuweza kuifanya hadi mashabiki waache timu zao na kuifuata.
Sasa hivi wanahitaji wachezaji na kocha wa kuhakikisha hawa mashabiki wapya hawaondoki.
Nilivyomwambia hivi Labyrinth 84 akahisi namdhihaki hajui kwamba huo ndiyo mchakato unavyotakiwa kua. Howe na wale waliopo watakaza miguu kwa Arsenal first leg kisha atafungwa na Bournemouth na Everton, kisha second leg Arsenal atajipigia inakua ni mambo ya mid table team
wao wanakausemi chao etiHawa nyumbu wanaweza wakala mkono. Chuma ya 3 inaingia.
Hatuna bench la kushtua so waliopo wasifanye drama
Subirini mkung'utwe kama ndugu zenu nyumbu ,mna kidomo domo sana nyingi mabingwa Fake ,leo makosa yoyote yatatutesa sana
upande wa zincheko na wasiwasi nao sana
Today this is our big test for title claiming