arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,328
- 4,315
Jana ngapingapi mkuu 🤠🤠🤠....Hio westham wewe umeifunga lini? Imekutoa carabao . Hao hao farmers league ulikufa kwa timu inashika nafasi ya 8 huko.
Arsenal nyinyi ni false hopers na kama unataka kuamini hili tusubiri muda ndo utasema vizuriii.
Game na Newcastle humu mwanangu gordon alifanya humu matusi yawe mengi sana ila ndo ivyo mshasahau kama mtakavyosahau ubingwa.
Mafanikio yenu pekee ni kwamba hampo kwenye hatari ya kushuka daraja. Fan base yenu inajisifia hilo. This is your only dreamAnother false hope . Mshakua mabingwa nini wanetu.
Everybody know arsenal will never win any title msimu huu even arteta anajua sema ndo ivyo tu ubishi wenu .
Halafu kichekesho ni kwamba huyu mtu timu ya kwanza kuitaja ni Arsenal. Naamini unajua kiingereza
View attachment 2836902
Atakwambia tuna Isak...sijui tuna godauni...sijui mara Livramento...njoo kene matokeo Sasa...tatu bila shehe🤠🤠🤠...nazitaja hapa mechi atakazodundwa mzunguko wa pili...dhidi ya Liverpool...sisi ndo tutawabemenda kabisaaa...na Manunu...Chelsea hii ya vibogoyo itawabamiza....na Brentford bdo na kipara Pep naye atakuja kufunga hesabu....yaani Hawa wakijitahidi wanamaliza wa nane huko chinichini kwa kina FulhamWatoto wenzako watakunyoosha hadi uanze kutumia akili mburu kabisa
Tunaweza tukawa karibu zaidi yenu lakini. Kuna wengine humu hawataki urudi. Ila mimi nasema "once a gunner..." so ukirudi, na utarudi...tutakupokea tu.Another false hope . Mshakua mabingwa nini wanetu.
Everybody know arsenal will never win any title msimu huu even arteta anajua sema ndo ivyo tu ubishi wenu .
Chances nyingi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Umetajwa kwasababu umefungwa sasa ulitaka ataje timu ambazo hajazifunga ama? Hizo timu zote alizotaja tumezipiga.
Kipi kinakufanya uone kama huyo jamaa ni mzungu. Any Newcastle fan anaelewa kwamba game ya jana ni tulikosa chances nyungi na hizo mistakes mbili za trippier na tumezikubali kiroho safi
Naona arsenal kuna umuhim wa kufikiria Tisa na beki matata kwa january kwasababu Kai ashanza Rudi Kwa form, maana hatuwezi kumsubir timber,saliba akiumia itakuwa majanga,jesus akiumia forward ishakuwa butuTunatakiwa kupata points sana. Tena kwa kucheza pira tamu. Baba ubaya na manyumbu wanapata points pamoja na kigoal difference cha kijinga sijawahi ona. Ila wanajikongoja na pamoja na madongo tunayopapiga, ile mechi ya chelsea manyumbu walitawala kabisa wale kenge. Wakiendelea hivi wataanza kujitambua na kutusumbua. Na sisi tuendelee kupiga points 3 na tuachane na draws.
Kama kuna mtu namuamini anajua kupambania kombe, ni Pep aisee.Tuwe na akiba ya Maneno
Tuendelee na marathon View attachment 2836918
Atakwambia tuna Isak...sijui tuna godauni...sijui mara Livramento...njoo kene matokeo Sasa...tatu bila shehe...nazitaja hapa mechi atakazodundwa mzunguko wa pili...dhidi ya Liverpool...sisi ndo tutawabemenda kabisaaa...na Manunu...Chelsea hii ya vibogoyo itawabamiza....na Brentford bdo na kipara Pep naye atakuja kufunga hesabu....yaani Hawa wakijitahidi wanamaliza wa nane huko chinichini kwa kina Fulham
una 4 na mwenzako ana 3 😂😂😂😂😂Sasa hapa unacheka nini mkuu , Newcastle kapata chance 4 ambazo zote ni big chance na kazikosa zotee yaani unaleta statistics ambazo zinakupinga mwenywe
Atakwambia tuna Isak...sijui tuna godauni...sijui mara Livramento...njoo kene matokeo Sasa...tatu bila shehe...nazitaja hapa mechi atakazodundwa mzunguko wa pili...dhidi ya Liverpool...sisi ndo tutawabemenda kabisaaa...na Manunu...Chelsea hii ya vibogoyo itawabamiza....na Brentford bdo na kipara Pep naye atakuja kufunga hesabu....yaani Hawa wakijitahidi wanamaliza wa nane huko chinichini kwa kina Fulham
Sasa mbona haiongozi ligi mkuu,matokeo ni timu na hakunaga team ya mtu mmoja, mtu hawez Yuko kitandani hoi ukatoa ini lake ukasema ni zima utakuwa huna akili,na kuongoza ligi hakunaga kubahatisha na kama kipo basi kila team ina nafasi hiyo,katika msimu huu kuna kipindi arsenal imecheza bila odergad,hata bila saka,hasta bila martinel,hata bila jesus na wengine wengine wengi ivi vyote vina impact kwenye team na kwa mchezaji husika,lakin pamoja na hayo team inaongoza league unaleta masiasa yako ya kwenye majimbi ukoNakupa na hii ambayo huijuiii tuchukue statistics za misimu 4 iliyopita kati ya jesus na wilson uone mwenywe tu View attachment 2836994
View attachment 2836995
View attachment 2836996
View attachment 2836997
Usilete comparison za players utaumia sana au unaona man city kumuuza jesus walikosea ? Wanajua kabisa hamna kazi pale .
Mchezaji kazidiwa magoli zaidi ya misimu 4 halafu unataka tulete comparisonhuyo jesus kwenu ndo main striker huku Newcastle wilson ni backup striker
Wewe najua upo bongo. Wenye nyukesto yao wazungu wanasema hua mnajikaza mkicheza na timu kubwahua unanielewa nikisema classic signs za timu ndogo ni zipi? Kujikaza dhidi ya timu kubwa.
View attachment 2836898
Sasa best 11 unataja wachezaji wa4Sasa unamtaja isak tena huoni aibu mkuu. Hio arsenal nzima hakuna mchezaji kama isak kama unabisha tuweke statistics hapa .
Huyo wilson mwenyewe alicheza dakika chache kuzidi jesus kamzidi mbaliii na pale Newcastle ni second striker sio main striker.
Kitu pekee unachoweza kupiga kelele nacho ni kukaa nafasi isiyo yako hapo juu.
Unapoongelea wachezaji wa Newcastle unaongelea best players nan anamweka trippier nje pale arsenal, nan anamweka bruno nje pale arsenal? Nan anamweka isak nje pale arsenal? Nan anamweka pope nje pale arsenal?
Watakimbilia kwa de gea.Nilisema juzi hapa baada ya Nick Pope kuumia , Newcastle walete haraka £50m kwa Ramsdale, lasivyo watapigika Sana
Na Arteta kasema hataki kumuachia January,labda ije hela ya kueleweka
Kwanza Hana haraka ,alimsainisha mkataba mrefu mwaka huu
Alimnunua £30m , bila £50m hauzwi
Lete takwimu ndani ya misimu minne Arsenal na Nyukesto timu gani imefunga magoli mengi basiNakupa na hii ambayo huijuiii tuchukue statistics za misimu 4 iliyopita kati ya jesus na wilson uone mwenywe tu View attachment 2836994
View attachment 2836995
View attachment 2836996
View attachment 2836997
Usilete comparison za players utaumia sana au unaona man city kumuuza jesus walikosea ? Wanajua kabisa hamna kazi pale .
Mchezaji kazidiwa magoli zaidi ya misimu 4 halafu unataka tulete comparisonhuyo jesus kwenu ndo main striker huku Newcastle wilson ni backup striker
Sasa mbona haiongozi ligi mkuu,matokeo ni timu na hakunaga team ya mtu mmoja, mtu hawez Yuko kitandani hoi ukatoa ini lake ukasema ni zima utakuwa huna akili,na kuongoza ligi hakunaga kubahatisha na kama kipo basi kila team ina nafasi hiyo,katika msimu huu kuna kipindi arsenal imecheza bila odergad,hata bila saka,hasta bila martinel,hata bila jesus na wengine wengine wengi ivi vyote vina impact kwenye team na kwa mchezaji husika,lakin pamoja na hayo team inaongoza league unaleta masiasa yako ya kwenye majimbi uko