Arsenal (The Gunners) | Special Thread

N
Lakini pia Luton walikua wanacheza aggressive sana, attack and defend as unit

Jpil city anaenda pale pale tulipotoa chukua 3 points tatu kibabe
Ngoja nitizame na game ya city, hawa luton ndio game yao ya kwanza nimeitizama msimu huu
 
Subiri mje
Utaelewa vizuri
 
Rice huwezi kukuta anakupa Rate chini ya 7+ kila mechi anakupa 7+

For me ni best DM in the world

Mpaka Sasa DM lakin Hana hata kadi
Halafu product yetu hii ya Cobham , uongozi wa Chelsea walivyo wapumbavu wakamtoa kwa mkopo na kumuuza
 
Mnaanzaga hivihivi
Ila mwisho pumzi inakata

Mwaka jana tuliwaombea mema mkashindwa
Mwaka huu kombe tunalibeba wenyewe
 
Caicedo na Rice Ni mbingu na ardhi

Huwa nacheka Sana Caicedo kufananishwa na Rice ,

Di zerbi alimfanya awe Bora ,Pale Brighton Kuna reject nyingi Lakini zinaonekana Bora sababu ya Di zerbi

Arsenal kidogo tuingie kichwa kichwa , Caicedo sio DM
Caicedo hawezi kukaba bila kufanya foul. Jana kulikua na space kubwa uwanjani lakini alikua anashindwa kushambulia space.

Sio yule Caicedo tuliemuona Brighton.
 
Ila Martinez kipaa! hapa tukubali tu arteta alifanya makosa kumwachia, maana ata Leno mwenyewe sijui yuko wapi..
Game yetu na Aston villa iko mikononi mwa raya akileta mzaa wake tunakufa mapema tu, kipa wa city jana alivyo chomoa ile michomo sio poa hivhiv wangekufa ata nne
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…