Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Asenyeto mnajambishwa na Luton Halafu mnajitapa kuwa mtabeba kombe , labda mbebe ndoo za ulanzi na gongo
 
Wanacheza tough Sana
Wanaingia Sana

Kama wametumwa hivi na vigogo ili watupunguze kasi
Mtaita maji mma leo ,mnadhani ligi ya wakulima hii
Mnaanza kujipangia kwamba tunabeba epl
Epl ya nioko ,ngonja leo kibonde Luton awafumue ,hicho kidomo domo kiisshe na mjue hii ni Epl na si ligi ya wakulima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…