Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wanacheza tough Sana
Wanaingia Sana

Kama wametumwa hivi na vigogo ili watupunguze kasi
Hawa wote wanaiona hii mechi kama interview kwa Arteta. Kila mmoja wao anataka tumuapproach January.
 
Arteta aingie vizuri kipindi Cha pili
 
Ila huyu Rice itabidi tuongeze pesa.

Jamaa anapiga forward passes kama anakunywa maji.. Anacheza Lone 6 but still anakupa vitu vyote: Defense, Umiliki na Passing.

Niliwahi kusema Rice ana footwork nzuri, leo free kick ya kwanza kapiga yeye na kaipiga cross vizuri sana.

Hapa tumepata mashine ya kazi!
 
Kuna watu waliona hii game ni rahisi,hayo ndio matokeo yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…