Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hahaaaa
wakuwaogopa ninyi labda Luton ,Sheffield na viazi kama hao
 
Ninyi gombanieni top four tu ,kombe la Epl lina wenyewe .
Sio ninyi
 
Ninyi kombe lenu nikuingia top four epl
 
Saka au/na Martinelli wangepumzika tu kwanza. Tukamleta hata Elneny hapo kwa Kai. Kai aende CF, Jesus RW au apumzike bench ili Nelson acheze LW ama RW. Nafasi iliyobaki ya mbele awekwe Trossard.
Arteta anaakuambia winning team do not change

Tunaua mende kwa hypertonic missile
 
Luton are the only side in the Premier League this season to play over 300 crosses, so not surprising Arteta has gone for height tonight by bringing in Havertz, Kiwior and White.
 
Saka au/na Martinelli wangepumzika tu kwanza. Tukamleta hata Elneny hapo kwa Kai. Kai aende CF, Jesus RW au apumzike bench ili Nelson acheze LW ama RW. Nafasi iliyobaki ya mbele awekwe Trossard.
Tupate ushindi mapema kwanza, habari za kupumzika zitakuja baadae
 
Hawa Luton wanatufuata karibu sana kwenye half yetu na wamecommit watu wengi mbele. Wakichoka kidogo tu au tukiwapatia kuplay out wataumia.
 
Wanacheza tough Sana
Wanaingia Sana

Kama wametumwa hivi na vigogo ili watupunguze kasi
 
Luton hawajakaa kinyonge kabisa. Wanapress. Wanadouble up na kutriple up on Saka, Ode, Martinelli na hata Havertz na Jesus. Hawatupi nafasi ya kucheza boli letu tunavyotaka. Wasipokata moto tutaenda nao bega kwa bega. Tuombe tu sisi tusikate moto kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…