Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Naiona hatari inakuja January hadi may, madamu yatamwagika
 
Douglas Luiz yule Emery hawezi kutuuzia...na akituuzia atataka kukomoa maana hawana presha ya kuuza...tuangalie kwngine
Palinha kikongwe yule mnapeleka wapi ?
Chukua Doucoure WA crystal plalace ,Yuko vizuri kwenye kukaba , pure DM (Mkata umeme halisi + kazi chafu )
Halafu Rice anakuwa advanced Mildifielder
 
Son anajua kuwatesa mancity , nahisi kila mechi na city lazima afunge
 
Kaka nilisha sema Humu, yule mtu ni 🔥🔥🔥🔥, sijui kwanini haonekani ??
 
Natamani nimuone Trossard kwenye LCM lakini last game hakuwa na mchezo mzuri.
Hata alivyohamia LW baada ya Matinelli kutolewa. Nahisi ile game vs Wolves aliipania sana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…