arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,328
- 4,315
Yaani kushikilia bomba jana tyri mshajiona na nyny wakubwa....kesho kutwa Manunu anawafumua🤠🤠....muanze tena kumtukana PochetinoNatamani tupangiwe mechi na ninyi tena tuwafumue ili hiki kidomo domo kipungue , mkishinda vimechi viwili huwa Mnazungua sana pimbi ninyi ,watu hatulali
Wa Monaco nadhani ndiye huwa anaongelewa. Kumekuwa na ka mlipuko ka mafofana hivi karibuni. Sijui imekuwaje kuwajeFofana si wa leister city??
J5 baada ya mechi yenu ntakutafuta....mna midomo sana mkiotea kushinda🤠🤠🤠Nyie kondoo nawakumbusha huu ndio muda wenu wa kufurahi, soo furahini sana ikifika mei mnatoka mikono mitupu. Msiseme sijawaambia nyie kunguni.View attachment 2833331
Last season kikos kilikuwa chembamba injury Zikawa nyingi lakin saiv injury zipo na bado mambo fresh tuNyie kondoo nawakumbusha huu ndio muda wenu wa kufurahi, soo furahini sana ikifika mei mnatoka mikono mitupu. Msiseme sijawaambia nyie kunguni.View attachment 2833331
Manundu Fc ,atajuta kukuktana na sisi , kuna dhahama itamkutaYaani kushikilia bomba jana tyri mshajiona na nyny wakubwa....kesho kutwa Manunu anawafumua....muanze tena kumtukana Pochetino
Chelkenge Mara ya mwisho kumfunga Arsenal mwaka gani?Natamani tupangiwe mechi na ninyi tena tuwafumue ili hiki kidomo domo kipungue , mkishinda vimechi viwili huwa Mnazungua sana pimbi ninyi ,watu hatulali
Ni mpango wa klabu ,summerHivi arsenal Kwanini tusi tafute striker namba 9 halisi??
Huyo jamaa ndiye anaongoza kwa tackling EPL nzima ,linapatikana kwa £38-45mKama tunataka kumchukia Palhinha January, naona poa tu. Ni mrefu wa kusaidia kuwin aerial duels, kitu ambacho kinamuudhi sana Flano kusikia. Anakaba. Anaquality long balls. Anatengeneza nafasi za ufungaji. Anapenda kusogea karibu na box kupiga zile "Partey shots" au kuingia ndani kupiga vichwa cross na kona na muhimu zaidi ni anafunga magoli. Pia jamaa alitufunga tukapoteza points 2. Acha aje awe upande wetu kuliko akiwa mpinzani wetu.
Nakubaliana na wewe. Tuendelee kuimarisha ulinzi na kuifanya timu iwe ngumu kufungika. Tukiwa na Rice, Partey na Palhinha tunakuwa na options hata mmoja akikosekana hayutetereki kirahisi. Attacking side nako kuwe serious zaidi. Sawa tuligonga post na Martinelli na Nketiah lakini mimi huwa sipendi tabia ya kuongoza 2 au 3-0 half time halafu full time tunashinda hizo hizo 2-0 au 2-1, 3-2... Tunatakiwa tuanze kupiga watu 5 na zaidi mechi nyingi zaidi maana wapinzani wetu wanafanya hivyo. Mtu kama Mamacita tunamzidi points anatuzidi GD halafu mbeleni tukilingana anatupita kwa hizo GD.Huyo jamaa ndiye anaongoza kwa tackling EPL nzima ,linapatikana kwa £38-45m
Ni mrefu
Arteta anataka kutengeneza timu iliyo stable Sana kiulinzi anataka kuishi na ile Falsafa inayosema
Attacking inashinda mechi, Defence inakupa mataji
Sasa imagine Hii BERMUDA TRIANGLE tu inatishia amani
Leo nilikuwa naangalia Stats za Save kwa makipa EPL , kwa wale makipa First eleven , Raya anashika nafasi ya mwisho mwisho kwa kukutana na save chache anazo 14 tu ,
Magoli tunayofungwa mengi Ni tunachoma wenyewe Kama la juzi vs wolves
Kimfumo Ni ngumu kupata clear chances ,
Sasa akiongezeka yule Palhina na Rice hapo unaipata Artetaliban Ball.
UCL kule ukiwa na Defense nzuri unatoboa mapema Sana,
Kwasasa Fluidity ya timu ishaanza kurudi ,
Nadhani tule ni midfielder zaidi. Tunahitaji striker au forward mkali anayejua goli lilipo. Mfano mwingine short term kwa sababu ya umri tu ila sioni wadogo zake wengi wa kumzidi ni Son wa SpursKwanini msimchukue Doukure wa crystal palace ?
Piga sana huyo nyumbu. Furaha yangu ni kuona akitoka top 10 na akizidi kuwa na -ve GDManundu Fc ,atajuta kukuktana na sisi , kuna dhahama itamkuta