Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,425
- 96,792
Nimesoma humu kuwa tunatafuta huyoHivi arsenal Kwanini tusi tafute striker namba 9 halisi??
Maana ili upate ubingwa, lazima uwe na jitu katili.Nimesoma humu kuwa tunatafuta huyo
Mi nachoona kana mapafu ya duma...uwanjani kana hekaheka nyingi yaani ni Gallagher aliyechangamka zaidi na anatumia zaidi akili....sio mbaya kusogezea siku ila sijui tunakwama wapi kwa Fofana aisee....yule mi naona ndo angekuwa a perfect fitKama tunataka kumchukia Palhinha January, naona poa tu. Ni mrefu wa kusaidia kuwin aerial duels, kitu ambacho kinamuudhi sana Flano kusikia. Anakaba. Anaquality long balls. Anatengeneza nafasi za ufungaji. Anapenda kusogea karibu na box kupiga zile "Partey shots" au kuingia ndani kupiga vichwa cross na kona na muhimu zaidi ni anafunga magoli. Pia jamaa alitufunga tukapoteza points 2. Acha aje awe upande wetu kuliko akiwa mpinzani wetu.
Unaona tungempata nani angetufaa? Mimi nampenda Nunez wa liverpool ingawa kumpata ni suala gumu mno.Maana ili upate ubingwa, lazima uwe na jitu katili.
👉Angalau muwe tishio, maana hivi vidogo Kuna mechi vina lack confidence
Ngoja nimcheki fofana youtubeMi nachoona kana mapafu ya duma...uwanjani kana hekaheka nyingi yaani ni Gallagher aliyechangamka zaidi na anatumia zaidi akili....sio mbaya kusogezea siku ila sijui tunakwama wapi kwa Fofana aisee....yule mi naona ndo angekuwa a perfect fit
Fofana si wa leister city??Ngoja nimcheki fofana youtube
Wa Monaco mkuuFofana si wa leister city??
Wakimfungia kazi Edu na Arteta plus Saliba akipiga naye cha Nyumbani kwao anakuja yule...tuna project nzuri ambayo kwa mchezaji potential inamfaa sana....PSG ni makubwa jinga Yale...yamepata Kila aina ya wachezaji ila yapo palepale...walikuwa na Neymar plus Messi na Mbappe wakshindwa kumalizia dhamira ya project Yao....Deal la Fofana, Monaco wamesema hauzwi mwaka huu japo mkataba wake unategemewa kumalizika 2024. Hata hivyo kuna interest pia kutoka PSG.
Kwa jinsi walivyo wachezaji wengi wenye uraia wa kifaransa wanapenda kuchezea kwenye ligi ya kwao, na hivyo kuna PSG ambayo ina uwezo wa kifedha na pia wana potential ya kusumbua ulaya.. Kama ikiwa kweli tunamhitaji basi tuna kazi kubwa ya kufanya ili kumshawishi!
Mkuu hii imetengenezwa...nimeangalia press yake mwandishi alijaribu kumuuliza swali kutokana na incidents za mechi ya jana akamkwepa kimtindo....fuatilia kutoka kwny official account ya klabu...achana na hao makanjanja wanaotengeneza stories🎙️ Mikel Arteta asked about the controversy from the City game.
🗣️ "Those are the kind of things I rage about and they call me a mad man for it, City were robbed for sure, I don't know what to say to them to console them, but lemme start with cry now, cry tomorrow cry forever"
View attachment 2833280
Kaka sio kila mda wa kua serious, sometimes utani unahusikaMkuu hii imetengenezwa...nimeangalia press yake mwandishi alijaribu kumuuliza swali kutokana na incidents za mechi ya jana akamkwepa kimtindo....fuatilia kutoka kwny official account ya klabu...achana na hao makanjanja wanaotengeneza stories
Kwanini msimchukue Doukure wa crystal palace ?Unaona tungempata nani angetufaa? Mimi nampenda Nunez wa liverpool ingawa kumpata ni suala gumu mno.
Hapo nimekusoma mkuu🤠🤠🤠Kaka sio kila mda wa kua serious, sometimes utani unahusika
Yaani kushikilia bomba jana tyri mshajiona na nyny wakubwa....kesho kutwa Manunu anawafumua🤠🤠....muanze tena kumtukana PochetinoNatamani tupangiwe mechi na ninyi tena tuwafumue ili hiki kidomo domo kipungue , mkishinda vimechi viwili huwa Mnazungua sana pimbi ninyi ,watu hatulali
Wa Monaco nadhani ndiye huwa anaongelewa. Kumekuwa na ka mlipuko ka mafofana hivi karibuni. Sijui imekuwaje kuwajeFofana si wa leister city??