Kuna comment ya duchu mmoja, nadhani baada ya kusuluhu na Kenge, alitusema sana. Akaona ni haramu kabisa kusuluhu, bora kufungwa. Ngoja niitafute kwanza
Asingemuacha ila ilikuwa ni short term plan....hawezi kukupa miaka 3 ya huduma nzuri endelevu...tuache shortcut tutafute long term plan na umri sahihi...options zipo za kina Zubimendi na Fofana...
Game 3 sasa, hajazipata hasira tu bado? Maana ni jambo la kushtua kidogo city kwenda game mbili mfululizo bila ushindi,jambo la kushangaza zaid game ya 3 leo bila ushindi hii ajabu kweli kwa city