Link vipi mchambuzi nguli?
Pamoja Sana mkoreaYalla Shoot Live – English
Yalla Shoot Live in English is the reference that provides you with all the comprehensive information about football leagues, English Premier League, La Liga, Ligue 1, Italy Serie A, Bundesliga, and moreen.yalla-shoot365.com
wapi?Refa tuwekee hilo tuta hapo
Sasa kwakuwa mmetujazia nzi humu leo...saa Tano usiku tutakuwa wte tukiangalia namna Isak anavyofanya mambo yake pale St James Park...gepu lifunguke kuwa points tisa maana mna matumaini hewa sana🤠🤠🤠View attachment 2831637
Hamsumbui nyinyi, tunajua malengo yenu ni kubaki UCL
Kuna mtu hmu ndani leo hiihii nimemwambia ujinga wa Zinchenko ulivyotucost na west Ham...leo kafanya pumba zilezile...hyu bwana mdogo Timber akirudi atatafutiwa namba nyingine ya kucheza....ana vipindi vya homa ya msimu kama Ramsdale hiviWaliokuwa wanasema mbona flow ya ushambuliaji haipo
Shida ilikuwa
Ødegaard alikuwa anacheza na injuries
MARTINELL Jesus Saka walikuwa wanakutana na injuries hawaanzi kwa pamoja
Ni moja ya sub nlizokua nasubr kipindi cha piliKuna mtu hmu ndani leo hiihii nimemwambia ujinga wa Zinchenko ulivyotucost na west Ham...leo kafanya pumba zilezile...hyu bwana mdogo Timber akirudi atatafutiwa namba nyingine ya kucheza....ana vipindi vya homa ya msimu kama Ramsdale hivi
Kanacheza sasahvi kwa sababu ya role yake ya ku invert ndani ila akirudi Timber ataanza juu ya mbao hyu...mm huwa akiwa na winger machachari roho yangu inakuwa juu sana halafu goli nyingi Zina leak kupitia upande wake ule....Ni moja ya sub nlizokua nasubr kipindi cha pili
Zinchenko anapotezaga concentration nae kama ramsdale tu, Timber akirudi labda acheze LCM/8Kuna mtu hmu ndani leo hiihii nimemwambia ujinga wa Zinchenko ulivyotucost na west Ham...leo kafanya pumba zilezile...hyu bwana mdogo Timber akirudi atatafutiwa namba nyingine ya kucheza....ana vipindi vya homa ya msimu kama Ramsdale hivi
Kabisa yaani...anakuwa kama anapatwa na mdondo kwa mudaZinchenko anapotezaga concentration nae kama ramsdale tu, Timber akirudi labda acheze LCM/8
Uhakika hio..kikubwa point tatu leoKanacheza sasahvi kwa sababu ya role yake ya ku invert ndani ila akirudi Timber ataanza juu ya mbao hyu...mm huwa akiwa na winger machachari roho yangu inakuwa juu sana halafu goli nyingi Zina leak kupitia upande wake ule....