Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Pep Guardiola on Arsenal:

"David Raya has the ability to play short and long so it’s not easy to control these balls.

They’re a fantastic team and they played really well."
 
Wolverhampton wanateseka

Jamani hii si sawa

Huu ni unyama katika soka

Hii haikubaliki

[emoji1]
 
Waliokuwa wanasema mbona flow ya ushambuliaji haipo

Shida ilikuwa

Ødegaard alikuwa anacheza na injuries

MARTINELL Jesus Saka walikuwa wanakutana na injuries hawaanzi kwa pamoja
 
Waliokuwa wanasema mbona flow ya ushambuliaji haipo

Shida ilikuwa

Ødegaard alikuwa anacheza na injuries

MARTINELL Jesus Saka walikuwa wanakutana na injuries hawaanzi kwa pamoja
Link vipi mchambuzi nguli?
 
Chukua points za Kenge zidisha Mara 2

Bado hafiki points za arsenal[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…