Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Daah yan tunai solve vipi mzee maana kila baada ya mda naitajika ku update email, kila ivyo naishia kungalia tu maoni ya watu sichangii chochote , comment zinagoma kabisa, naambiwa change email nikichange naambiwa ina Account tayari
 
Daah yan tunai solve vipi mzee maana kila baada ya mda naitajika ku update email, kila ivyo naishia kungalia tu maoni ya watu sichangii chochote , comment zinagoma kabisa, naambiwa change email nikichange naambiwa ina Account tayari
@mkorea
 
Against Lens Arteta kwa mara ya kwanza alitumia attacking 5 ya Saka,Gabi,Kai ,Ø &Nelli

Kai-target man LHS,second balls

Jesus-akicollect second balls

Ø-akihusika zaidi na buid up

Nelli & Saka threat from wings

Huku Raya-bait the press kucheza long balls kwa Kai au Jesus
 
-GTA I released 1997.
-GTA II released 1999.
-GTA III released 2001.
-GTA IV released 2008.
-GTA V released 2013.
-GTA VI being released 2024.

Guess the football club that has won a total of 0 Champions League trophies during that time span.
 
-GTA I released 1997.
-GTA II released 1999.
-GTA III released 2001.
-GTA IV released 2008.
-GTA V released 2013.
-GTA VI being released 2024.

Guess the football club that has won a total of 0 Champions League trophies during that time span.
Hicho kikombe cha UEFA baada ya timu yenu kuchukua ndo imekua mwisho wa dunia?

Hatujabeba sisi, mnaoumia ni nyie. Haya endeleeni kuteseka!
 
Hicho kikombe cha UEFA baada ya timu yenu kuchukua ndo imekua mwisho wa dunia?

Hatujabeba sisi, mnaoumia ni nyie. Haya endeleeni kuteseka!
Basi mkuu, nisamehe sana. Nimekosea, sitorudia tena kupost kwamba hamna UCL hata moja.

Nyinyi ndo mabingwa wa UCL na EPL 23/24.
 
Zinny nae kaanza kukaza makalio, ukimfatilia siku hizi ameimprove defensively
 

Mkuu, Jf ni user generated content forums. Ukiruhusu watu kufuta account maana yake unaweza fika mahali ukakuta forums zote hazina content sababu unapofuta account automatically unaondoa contents zote zilizowahi kuwa posted na account husika.

Ndiyo maana hata ukirudi kwenye posts zako za nyuma ukaanza tu kuzifuta just for any reason utakutana na ban toka kwa mods.

Ukisoma Jf terms and conditions kuna sehemu inasema;

“You are granting us with a non-exclusive, permanent, irrevocable, unlimited license to use, publish, or re-publish your Content in connection with the Service. You retain copyright over the Content.

We respect your right to be forgotten, but at the moment we DO NOT accept account closure or deletion requests. Think before you open an account or share content on the public domain”, mwisho wa kunukuu


Kuhusu issue ya kubadili email nadhani ni simple, log in kwenye hiyo old account kisha bonyeza avatar yako then change email. Hapa utaondoa hiyo email na kuingiza nyingine hata kama siyo email inayotumika ilimradi iwe na proper email format eg: mjusi_kafiri@gmail.com.

Kisha utafanya hivo hivo kwenye hii account yako ya Mjusi_kafiri na kuweka hiyo email unayoitaka, nadhani kiasi itakuwa imekusaidia, all the best.
 
Zinny nae kaanza kukaza makalio, ukimfatilia siku hizi ameimprove defensively
Kanajitahidi ila mechi ya West Ham kalituchomesha goli la pili...hatujasahau....akipata winger msumbufu huwa anakuwa kama fala fulani..na ndo hapo unapoona umuhimu wa tomiyasu kukaa ule upande...na Kiwior naye natamani awe anachezacheza kidogo maana anasahaulika sana bwana mdgo ingawa na yy ni chuma cha mjerumani
 
Hope hapa amekupata
 
Jamie Carragher believes #Arsenal are second favourites for the Champions League this season: ‘I wouldn’t say Bayern Munich are a better team than Arsenal but there’s something about when you see Bayern Munich in Europe you feel like they could do it because they’ve been there before.

‘I think the competition right now, there’s only Manchester City who are better than Arsenal in this competition.’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…