Hongereni. Jana mmempiga mtu 4-0 bila hurumaKweli bange ni mbaya
Kawaida yetuHongereni. Jana mmempiga mtu 4-0 bila huruma
Mbona kama naona akina Salah, Gakpo, Diaz...hawa mnawapanga Europa huko na mshavuka group vizuri tu?
Si wanafanya mazoeziMbona kama naona akina Salah, Gakpo, Diaz...hawa mnawapanga Europa huko na mshavuka group vizuri tu?
Kuna moja anapiga na kinywaji kabisa, nikutumie uitunze?Nipo pale View attachment 2830028
Sikupingi mkuuKesho Wolves atakula chuma 4
Huu mzigo inabidi apangiwe city au MadridPrediction ya kikosi Cha kesho
Saa 12 tutakuwa na Wolves pale Emirates
Wolves wanapenda kufunguka kiasi ,so mechi itakuwa nzuri View attachment 2830135
Hii sasa sifa!Prediction ya kikosi Cha kesho
Saa 12 tutakuwa na Wolves pale Emirates
Wolves wanapenda kufunguka kiasi ,so mechi itakuwa nzuri View attachment 2830135
Duuuuuuuuh.Teams kama Dortmund, PSG, Barcelona, Porto, Inter, Atletico na Lazio zinapambana kutop magroup yao ili waepuke kukutana na sisi
Unataka acheze nani Sasa mkuu...hku sisi hatuna kina Chukwuemeka sijui mara Disasi🤠🤠...huku wapo kina Rice kina Havertz...ndo wapo haoHii sasa sifa!
Na wengine kama akina Partey ni majeruhi kwa hiyo hatuna namna 🤣Unataka acheze nani Sasa mkuu...hku sisi hatuna kina Chukwuemeka sijui mara Disasi🤠🤠...huku wapo kina Rice kina Havertz...ndo wapo hao
Watazitema tu dadek zaoKenge na Newcastle lazima watazitapika zile points
Saa zingine mshindani akiingia anavuruga mipango. Kina Edu huwa wanatakiwa kuficha targets ama kufichua targets za uongo huku wakifuatilia za ukweli. Najua hili si jambo rahisi maana tukimfuata mchezaji tu, club yake na team yake ya mawakala, familia, nk nao hapo hapo wanajitokeza kuringishia ulimwengu kuwa Arsenal inamtaka mchezaji wao.Naona tumejitoa kwenye swala la kumsajili Luiz
🚨 Liverpool are prepared to make a massive offer for Douglas Luiz in the January transfer window, per source. Arsenal are aware and will not compete at that price point.